Tupike Chapati za mayai na supu ya samaki

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,939
Reaction score
67,463
Hell

Tupike chapati za mayai za kukanda

Kwanza utaweka unga wako ulio chekechwa kwenye bakuri uta weka na blue band then chukua mayai yako yakologe pembeni kisha uweke pia the kanda kama huna blue band una weza weka mafuta ya kupikia ukipata ya alizet itakuwa poa sana


Kanda pole pole mpaka ngano yako iombe msamaha kabisa isi shike mikoni

Kisha iweke pembeni na ufunike ili ngano ipumue kama dakika tano kumi zina tosha

Baada ta hapo kata madonge yako ya chapati na usukume

Kisha fanya kama una ivuta ila isikatoke kisha ukunje vizuri


kisha anza kusukuma kwa kutengeneza duara na uziweke jikoni

Na kuweka jikoni

Baada ya hapo uta weka kwenye poti isio poza ili chapati ziwe na joto joto ata kama mtu aki chelewa kula zina kuwa na joto


Una iyoo chapati ilivyo chambuka

Andaa samaki wako vizuri mimi nimeweka karoti na viazi ili supu iwe nzito kisha nikaweka na limau
Hii saa tatu napata mlo wa asubuhi karibuni

 

Attachments

  • 1760160284669.jpeg
    237.7 KB · Views: 82
Kijana,Safi kabisa!

Lakini umeitwa PM hapo juu ..πŸ˜…

Sijui utaenda kwa mwendo gani kutokana na ombi la miombaji
We mzee una zeeka vibaya wew 🀣🀣 umerud kwanza
 
Waaah... nina zaidi ya mwaka sijala supu ya samaki !!!
Next Month nina safari ya mwanza ! Sato watanikoma !

Nb.... mapema sana masta, umeamka na njaa sana au ! Means umeamka saa 12 au moja kasoro kuandaa breakfast
 
Waaah... nina zaidi ya mwaka sijala supu ya samaki !!!
Next Month nina safari ya mwanza ! Sato watanikoma !

Nb.... mapema sana masta, umeamka na njaa sana au ! Means umeamka saa 12 au moja kasoro kuandaa breakfast
Saa kumi na mbili ndio nimeamka ase
 
Ila best hiyo Fanpan haifanani kukaa hapo kwa plate ya jiko.
Fanya ununue ya dukanii bhanaa, Mjeda unafail wapii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini mwaya mapishi unayo na unatamba nayo.
 
Mjeda akilikalia jiko awww 😹😹
Fanya derivery basi Kaka mabaka πŸ˜‹
 
Dah wakiume mimi mzee

Vijana inaonekana wanatamani Sana wanawake wajuzi wa mapishi Hadi kukuvutia picha kama binti/mrembo unayeweza kuteka wanaume kwa upishi...

Lakini pole Sana, ndio changamoto hizo .πŸ˜…
Hata Mimi nikihitaji kuongeza mke wa 3 nitatembelea jukwaa la mapishi....kule selfika kwa wabinua viuno sipataki tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…