Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Kwanza utaanda unga wako wa ngano kisha kitunguu na karoti kama una penda hoho uta weka, kitunguu kisage usikate na hoho saga kwenye vile vidude vinauvyo uzwa buku buku, baada ya hapo uta vichanganya na unga kisha uta weka maji polepole.
Baada ya hapo uta weka sukari kidogo na chumvi kisha yai kisha changanya mvhanganyiko wako hakikisha usiwe mwepesi uwe mzito kiasi
Baada ya kuona mchanganyiko ume kuwa mzito utaanza kupika chota kidogo kidogo weka kwenye flampeni na uanze kuzungusha ili litokee duara kama hivi
Baada ya hapo utaweka kwenye sahani au poti ina tegemeana na unavyo penda wewe mimi nimeweka kwenye sahani kama hivi
Una weza kula na kinywaji chochote mimi nimetumia mtindi na mboga za majani huo ndio mlo wa usiku
Wapenzi wa Man U leo tunalala na viatu kwa furaha
Kama wewe ni yanga na shabiki wa man u leo kula vizuri ushindi uko mikonon mwetu