Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 11,924
- 36,852
HahahaNswalu na nsansa hizo atakua hajui 😊😊☺️
HahahaNswalu na nsansa hizo atakua hajui 😊😊☺️
Mkuu, unazijua Mimi napendaga Sana NSWALU.Hahaha
Sizifahamu mkuuMkuu, unazijua Mimi napendaga Sana NSWALU.
Miaka zaidi 10 sijawai kula 😊
Nadhani unazungumzia ndafu mkuuNimeona wali TU hapo mkuu!!
Biriyani mi najua ni mnyama mzima anaokwa vizuri akiwa mzimamzima bila kumkata kata!!
Wewe unapika wali aiseh!!
Uanze kupika wali TU kwa marangi rangi na mbwembwe zote za nini!!?andaa mnyama mzima muoke Kwa moto akiiva chukua pili pili na kachumbari na kakisu unakata pole pole tu!!!Nitajaribu siku moja
Haha,. Usiombe ule huo mchanganyiko ukiwa haujaiva sasa😃Uanze kupika wali TU kwa marangi rangi na mbwembwe zote za nini!!?andaa mnyama mzima muoke Kwa moto akiiva chukua pili pili na kachumbari na kakisu unakata pole pole tu!!!
Huo wali ukila lazina utaharisha sana!
Nakazia 😃😃Kifuge kya mbatata unajua
Mkuu hujakulia mbeya ama??Si chakula cha kilugha iko boss
Ndio bossMkuu hujakulia mbeya ama??
Mpaka asemeMkuu hujakulia mbeya ama??