Tupige picha uchaguzi 2020


Kidyjr

New Member
Joined
Mar 18, 2018
Messages
2
Likes
1
Points
5

Kidyjr

New Member
Joined Mar 18, 2018
2 1 5
Wanajamvi wazalendo karibuni katika mada hii tuchangie.
Hebu tujaribu kupiga picha uchaguzi ujao lkn bila kusahau huko nyumba tunakotoka tangu nchi yetu pendwa Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi.

Kuanzia 1995 ambapo uchaguzi wa vyama vingi umeanza kumekuwa na kupiga hatua kadha wa kadha kwa demokrasia Tanzania. Vyama vya upinzani vimekuwa vikiongeza uwakilishi kuka uchaguzi na kuonekana kuwatoa jasho chama tawala CCM.

Lakini ghafla miaka ya karibuni baada ya uchaguzi 2015, demokrasia imelalamikiwa kurudi nyuma na wadau mbalimbali kwa serikali kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na mikusanyiko.

Sasa kwa ufupi sana tujadili aina ya uchaguzi wa 2020.
Ahsanteni
 

Forum statistics

Threads 1,204,941
Members 457,634
Posts 28,177,499