Tupia utabiri wako Simba vs Al Ahly

babu onyango

JF-Expert Member
Jan 12, 2023
327
813
Kesho ndio ile siku ya ufunguzi wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE( AFL) ambapo mechi ya ufunguzi itazikutanisha Simba S.C ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Tupia utabiri wako hapo chini
 
Simba 1-3 Al Ahly
20230601_215742.jpg
 
Kesho ndio ile siku ya ufunguzi wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE( AFL) ambapo mechi ya ufunguzi itazikutanisha Simba S.C ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Tupia utabiri wako hapo chini
Kama alivyo tabiri Mwana familia wa JF muda wa mchana, sikumbuki title ya bandiko lakini naiona simbwa ikicharazwa bakora 6 kwa nunge bila tashwishwi yeyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom