k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 975
- 1,108
Tupia hapa tukumbuke tulikotoka enzi za Tv za kuhesabu,simu za mkonge na tigo ikiitwa buzz.....Yangu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheza sana huuTupia hapa tukumbuke tulikotoka enzi za Tv za kuhesabu,simu za mkonge na tigo ikiitwa buzz.....Yangu hiiView attachment 1325841
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ilisababisha nishonewe kilaka cha gunia makalioni, ila maisha yalikuwa matamu sana enzi hizoTupia hapa tukumbuke tulikotoka enzi za Tv za kuhesabu,simu za mkonge na tigo ikiitwa buzz.....Yangu hiiView attachment 1325841
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hiv madogo wanawaza magemu tu kwenye ipad na kompyuta.........Hawaenjoy utotoHii kitu ilisababisha nishonewe kilaka cha gunia makalioni, ila maisha yalikuwa matamu sana enzi hizo
Duuh!!! Huyu mtoto kafanya nimetetemeka.
Ni hatari sanaDuuh!!! Huyu mtoto kafanya nimetetemeka.