tupia neno hapa

Sogea basi karibuuuu...hapa mambo ya CCM na CDM tunaweka pembeni!
 
Mkuu nimeamini sisi waswahili tukiwa na vijesent basi akili yetu yote huwa kwenye kupenda nyama mbiche na ndio maana kuna msemo usemao mswahili akipata lazima huliia mbata
 
mbona kila saaa mnawaza uzinzi na mapenzi? mbona kawaida tu? mheshimiwa anafanya yake ninyi mnayafuatilia,heeee jamani asimeze hata mate? kazi anayofanya ni ngumu sana anahitaji pumzika.
 
Mdee mwenyewe chuping usoni zimejaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…