Tupia maneno picha hii

Tupia maneno picha hii

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,499
Live+miskaki%281%29.jpg


Jamaa wanawahi kazini kusaini. Hapa kuny*a anye kuku akiny*a bata kahari*sha.
Toka kwa Mithupu
 
maneno ya nini wakati inaoneka kabisa mishakaki?
 
Mmmh kazi kweli kweli border to border..
 
hii imetulia, kwani magari yanayoongoza kwa ubovu barabarani si ya haohao!
 
sheria zipo kwenye makaratasi na siyo vichani mwa watu.
 
Ndugu,

Si tu kwamba mmoja wao hajavaa Kofia ya kujikinga bali pia wanaostahili kulinda sheria ndiyo wa kzivunja
 
Kwani nani alisema askari anatakiwa kufuata sheria? Hawaoni hatari ya kutovaa kofia ngumu na kula mishikiaki! Nani awakamate????
 
Back
Top Bottom