Tupia maneno kwenye hii picha

Mikakati ya ushindi kwa njia yoyote Arumeru. Mungu walai.
 
dah, huyu mganga kiboko... yani kila kitu live kwenye karai!!! itabidi tumtafutie gari aisee
 
Wazee hawa wamechoka...sana....naona Nape na yeye kaanza kuvuta sura kama wazee
 
Wazee hawa wamechoka...sana....naona Nape na yeye kaanza kuvuta sura kama wazee
si unajua ukikaa na wajahidina lazima ufuge ndevu.Nape hadi mawazo yake mengi ni ya kizee tayari
 
kama kuchoka ndio tumezeeka sana lakin dogo ache ....nge kwan merumeru lile le2 hawa chagga development manfesto a.k.a. chadema wanazingua na mbwembwe zao,wez 2
 
Kama wachezaji wa zambia tu! HIP!!!HIP!!! HURAAH!! LAKINI MBONA HAWAONYESHI UKAKAMAVU HAWA MAKAMANDA AU NDO RU.........IMEWALEMAZA?


hakika nawaambieni tuhamie kwenye kambi ya lowasa hii kambi tuliyopo miyeyusho....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…