Tupia combination ya wasanii Uliyoikubali Bongo Flava enzi za 2000-2008

Wale East Zoo walikuwa wakiamua kufanya kazi moja kwa pamoja walikuwaga sumu..

Hapa Ngwair, Pale Noorah mzee wa Ice Cream, Huku unamkuta mzee wa kikuku cha Mama Roda. Zamani ilikuwa flavour kweli..

Watu poli watu wa morogoro wakiongozwa na Afande wa darubini kali huku chorus akishika mdogo Dito aka Digital

Wakati huo wanaume wanapiga mapanga shah na sio watoto wa keko wanaokata miuno kwenye singeli kama wanawake, naskia sku iz wanamwagiwa na maji kabisa.

Kulikuwa na wateule, wazee wa muziki ulioenda shule, wakiongozwa na Jaffaray, Mo teknik na muhuni Mchizzi Mox

Finally kulikuwa na mabishoo wa mjini East Coast..hawa siwataji maana bosi wao aliiba style ya kurap kwa DMX

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali sana.... those days when bongo fleva was real.

Hahaha hapo kwa wakata viuno na kumwagiwa maji hata mimi nilibaki mdomo wazi.

Parklane nao walibamba bila kuwasahau wakina Daznundaz.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
1. East Coast Team. (Ama zangu, komaa nao, itikadi, wamejichanganya)
2. Mandojo na Domokaya (hawa kila nyimbo kali.... Baadhi ya hizo nyimbo ni...
NIKUPE
NIHUKUMU MOLA
WANOKNOK
MAMA MWENYE NYUMBA
DINGI
TASWIRA
NIAJE
Nk. )
3. Daz Nundaz wazee wa kamanda
4. Solid Ground Family wazee wa bush party
5. LWP wazee wa jela
 
Wale East Zoo walikuwa wakiamua kufanya kazi moja kwa pamoja walikuwaga sumu..

Hapa Ngwair, Pale Noorah mzee wa Ice Cream, Huku unamkuta mzee wa kikuku cha Mama Roda. Zamani ilikuwa flavour kweli..

Watu poli watu wa morogoro wakiongozwa na Afande wa darubini kali huku chorus akishika mdogo Dito aka Digital

Wakati huo wanaume wanapiga mapanga shah na sio watoto wa keko wanaokata miuno kwenye singeli kama wanawake, naskia sku iz wanamwagiwa na maji kabisa.

Kulikuwa na wateule, wazee wa muziki ulioenda shule, wakiongozwa na Jaffaray, Mo teknik na muhuni Mchizzi Mox

Finally kulikuwa na mabishoo wa mjini East Coast..hawa siwataji maana bosi wao aliiba style ya kurap kwa DMX

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa wanapigwa na vindoo vya maji wakiwa wanazungusha mauno.....hahahaaa siendi Dar haki ya nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom