Tupeni uhuru wetu

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
hapo kitakachofuata ni kutaka uhuru wa kuwa na mume zaidi ya mmoja na uhuru wa kuoa. nashauri kabla ya kudai uhuru huo ingependeza kwanza mpige vita suala la mahari na muanze kutumia ubini wa mama badala ya ule wa baba (mwanaume)
 
uhuru wenyewe ndio kutembea kama kuku wa kienyeji halaf hueleweki ulienda wapi na kufanya nini?halaf unarudi nyumban na namba za wanaume ukiwa umechoka mi nitakuelewa?acha makofi yatembee
 
Huo uhuru unaotaka, wataka ukafanyie nini??
Cha msingi ni kuheshimu uumbaji wako alihal ukitimiza wajibu wako hakuna atakayekusumbua.
 
tutaendelea kudai mpaka ukomo wa nchi ufikie na tena 2015 tunachukua nchi hii yani tunatawala maana nyie mzoeaa kutuendesha kama baiskeli
Dah nilidhani unadai uhuru wetu toka CCM kumbe toka kwa sisi marijali hahahah, as always being said there is no free lunch! jikomboeni kielimu na kiuchumi safari yenu itafika, otherwise mtaendelea kudai uhuru wenu mpaka sijui lini.
 
wewe unaifikiri nataka uhuru wa aina gani? ni ule wa kumkomboa mwanamke toka mikono ya maharamia wabathuli kama nyie, ambao wanawatawala wanawake kimabavu na kidikteta
Huo uhuru unaotaka, wataka ukafanyie nini??
Cha msingi ni kuheshimu uumbaji wako alihal ukitimiza wajibu wako hakuna atakayekusumbua.
 
hayo mlifanya wakati wa mababu na mabibi zetu kwa nyakati hizi hamtatuweza kwani tumetoka BEIJING haki sawa kwa wote hamuwezi mkatuendesha mnavyotaka sisi tutawaendesha nyie kama tunavyotaka ssisi na sio nyie wakandamizaji wa haki
uhuru wenyewe ndio kutembea kama kuku wa kienyeji halaf hueleweki ulienda wapi na kufanya nini?halaf unarudi nyumban na namba za wanaume ukiwa umechoka mi nitakuelewa?acha makofi yatembee
 
hivi nani aliwaambia tunatumia ubini wa mwaname si mnajipendekeza nyie mfano halisi ni marehemu Amina Chifupa hamuoni haya
hapo kitakachofuata ni kutaka uhuru wa kuwa na mume zaidi ya mmoja na uhuru wa kuoa. nashauri kabla ya kudai uhuru huo ingependeza kwanza mpige vita suala la mahari na muanze kutumia ubini wa mama badala ya ule wa baba (mwanaume)
 
hapo umenena mwana
Akupe uhuru nani?jikomboe mwenyewe wewe unakubali kuolewa na mwanaume katili wategemea nn kama cyo vipigo? Its begins with you women have the power to change the world tatizo wengi ni vihiyo wanaosubiria kuolewa na kuletewa kila kitu
 
hivi nani aliwaambia tunatumia ubini wa mwaname si mnajipendekeza nyie mfano halisi ni marehemu Amina Chifupa hamuoni haya

leo ndio unanifumbua macho sikuwahi kujua kuwa amina chifupa, mama yake alikuwa akiitwa chifupa. mimi nilikuwa najua kuwa chifupa ni jina la baba yake amina ambaye ni mwanaume (mume wa mama yake amina)
 
maneno uliyosema ni mazuri tena yenye busara ulishampata weekend aliyopita mutu wa kutoka nae au? halafu hii sign yako imenivutia sana sijui kwanini hii hapa "Ukipendwa - penda, ipo siku utapenda - usipendwe"
 
Cc: Mentor :angry::angry::angry::smokin::smokin::smokin::mvutaji::mvutaji::mvutaji::A S clock:
 
Last edited by a moderator:
Namshangaa anataka kuninyima nini wakati Mungu alisema kuwa enendeni mkazae na kuiongeza nchi nzima, sasa haoni kuwa atanifanya nikose tunda tamu namna hiyo acha nivumilie tu haya mateso kwani iko siku yatakwisha
ushauri mwingine ni kama nguvu za giza; awe single ili iweje?
 
haa wewe una wazimu mm nazungumzia mume wake mpakanjia ajatumia hilo wewe
leo ndio unanifumbua macho sikuwahi kujua kuwa amina chifupa, mama yake alikuwa akiitwa chifupa. mimi nilikuwa najua kuwa chifupa ni jina la baba yake amina ambaye ni mwanaume (mume wa mama yake amina)
 
na hizi alama zako zisizoeleweka sijui kwanini nyie mnatufanya tuwe hivi :A S 20::A S 20: kila wakati kwa mapigo yenu nasi tumeamua na tunasonga mbele kibeijing 😛anda: hatutaki mchezo wwala usumbufu :focus:
Cc: Mentor :angry::angry::angry::smokin::smokin::smokin::mvutaji::mvutaji::mvutaji::A S clock:
 
Uhuru ni haki ya kila mtu inayoambatana na wajibu. Ukitimiza wajibu wako bila mawaa hutapata kipigo kutoka kwa mwenza wako! Na Ukumbuke kuwa maumbile uliyobarikiwa kuumbwa nayo hayakuja kwa bahati mbaya...Mungu alikuwa na maana yake; na ndiyo maana kuna mgawanyo wa kazi na majukumu...sasa mkitaka kugawiwa majukumu ambayo kimaumbile si ya ninyi ndio kasheshe inapoanza...
 
Unaishi nchi gani mwenzetu ambayo leo ni Weekend....???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…