ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
pole sana ladyfurahia, umedundwa na kuletewa mwenza nini? Kwa nini na nyie msiwe wajanja mkaingia huu upande ambao unakuwa peke yako tu? Au usiolewe kabisa.
imekaa njema hiyo kiongozi;ukitumia hizo nyodo mmeo atakupiga mpaka uje humu tukushauri. Kila sehemu kuna utaratibu huwezi kutoka asubuhi ukarudi saa 6 usiku eti ulikuwa kwa shangazi. Kudai haki yako waweza kuidai hata kwanjia ya kiungwana tu,yapo mambo ambayo sisi wanaume tunakosea na yapo mambo ambayo nyinyi wanawake mnakosea,ila uhuru usio na sheria mimi kwangu hamna,labda useme uko jukwaani,bungeni na kwenye vikao vyenu ukirudi nyumbani fata utaratibu,serikali haita kuoa wala haikunisaidia kulipa mahari
Kwa kweli leo acha niseme ukweli uliopo ndani ya moyo wangu hususani hawa watu
wanaoitwa WANAUME wamekuwa kero kubwa kwetu wanawake, na wengine wamekuwa watu wa
ajabu sana wao kazi yao kubwa kusema vibaya wanawake, wengine wanafikia hatua ya kuwapiga wanawake utadhani ni kapeti au ngoma vile ambao haiumii kabisa ukipiga. Mtanishangaa marafiki
zangu wapenzi wa humu jf kwanini leo nimetokea kuongea hivi kwani wananikera sana na wengine wanadhubutu kuleta ndoa za mitala bila hata kuwaambia mke mkubwa bila hata woga kabisa,
wengine wanamaswali yasiyo na mkia wala mbuzi,
::ladyfurahia yakikushinda na wewe oa tu!
Duuuhhh... Mambo ya kusaga na kukoboa hayoWazo zuri mkuu, si unajua ck hizi haki sawa kwa wote? aowe tu na yeye.