Tupendane bila unafiki.......... Jamani tupendane!!!!!!


Umeona eeh, reward from Mungu is the best kwani ndio mahitaji halisi na ya wakati unaofaa.
 
Tatizo wivu na ubinafsi umetutawala hebu cheki wahindi na waarabu walivyo na umoja, wakipata dili kwetu wanaalika na wenzao

Really, wahindi wa India au koo chache za hapa zilizoitana. Ni kawaida kuona wengine tusowajua kiundani kuwa mambo yao yako safi; lakini asili ya binadamu si siri sana.
 

Thank you mathcom.
 
Really, wahindi wa India au koo chache za hapa zilizoitana. Ni kawaida kuona wengine tusowajua kiundani kuwa mambo yao yako safi; lakini asili ya binadamu si siri sana.

KIZURI KULA NA NDUGUZO!!!!!!!! ila watanzania ni tofauti sana!!!!!
 
Really, wahindi wa India au koo chache za hapa zilizoitana. Ni kawaida kuona wengine tusowajua kiundani kuwa mambo yao yako safi; lakini asili ya binadamu si siri sana.

wenzetu wanainuana sisi tunakandamizana!!!!!!
 
cataliya umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaali sana...miaka siyo nyingi kuna jinadamu lilijidai kuunganisha wafanyakazi ofisini kudai nyongeza ya mishahara ila mimi na rafiki yangu mmoja tukastuka hivyo tukaitisha kikao na yeye akiwepo tukakubaliana ya kwenda kumwambia boss huku watu wakiruruka kwa furaha kisha tukawaambia kwa sababu hatuwezi kuongea wote tukampa yeye jukumu la kuwasilisha yaani siku tarajiwa mara naharisha, mara maleria mara ......mwisho boss akaja kunitonya picha nzima na kusema habari zote alikuwa anaambiwa na yule jinadamu na alimwambia mimi na mwenzangu ndio viongozi stajabu yake mbona hatukumwita kumwambia. Wabongo waone kama walivyo kila kichwa na akili zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…