I wish tungependana na kujaliana; lakini ubinafsi umetawala sana kiasi kwamba kipimo cha mtu kuwa nazo ni 'kumshinda fulani'. Ingekuwa kipimo ni furaha na sio kuwa kama au zaidi ya fulani huenda tungependana. Maana furaha ya kweli inapatikana kwenye kutoa zaidi na sio kupokea.
So my dear cataliya in as much as tunapenda watu wapendane lakini as long as UMIMI upo na mafanikio ya mtu yanapimwa kwa alichonacho; that thing is there to stay.
rafiki, mbona mimi nakupenda ingawa umenizidi mbali sana?I wish tungependana na kujaliana; lakini ubinafsi umetawala sana kiasi kwamba kipimo cha mtu kuwa nazo ni 'kumshinda fulani'. Ingekuwa kipimo ni furaha na sio kuwa kama au zaidi ya fulani huenda tungependana. Maana furaha ya kweli inapatikana kwenye kutoa zaidi na sio kupokea.
So my dear cataliya in as much as tunapenda watu wapendane lakini as long as UMIMI upo na mafanikio ya mtu yanapimwa kwa alichonacho; that thing is there to stay.
yani umeongea cha maana, alafu huu utumwa sio maofisini tu hata hotel zingine wakiona rangi nyeupe fasta ila mwenzangu na mie mpaka macho yakutoke, tu watumwa wa rangi. yani ni kila mahari, kidogo polisi ndio wananifurahisha usiombe wakaikamata rangi nyeupe na kosa lol ataandikiwa na fine ambazo hazipo ....................................
siyo human nature, ni roho mbaya tu.....Mpenzi Kaunga hii UMIMI ni human nature ila ucwe nayo kiasi cha kutamani kumpoteza mwenzio just becoz of greediness!!!!!
umoja una nguvu kuliko matengano, kama kundi la watu wakiamua kufanya kitu pamoja kwa nia moja absolutely success is guaranteed
Alaf hakuna ulaji wa mmoja mmoja lazima kushirikiana, mm nashangaa why kukubali kuwa kwenye position ya backbiting your subordinate ambayo cheo mko sawa!!!!!!
Tubadilike wapenzi watanzania.......
Usichoke kumpenda mwenzio!!!!!!!!!
rafiki, mbona mimi nakupenda ingawa umenizidi mbali sana?
au sababu mimi nipo serikalini?
siyo human nature, ni roho mbaya tu.....
mimi nina rafiki zangu (wadada) 2. Mmoja ni boss fulani huko benki, na mwingine ni mfanyakazi wa kawaida ila pia ana business zake..... mimi peke yangu ndo n.k (na kadhalika).
huwezi amini wale marafiki wengine mimi ndo huwa nawakutanisha, nawaambia kabisa hela tunazitafuta sana lakini tunahitaji muda wa kupumzika na kubadilishana mawazo. Michongo mingi sana ya yule mfanya biashara mimi ndo nampa, kwanza nimekuwa mteja mkubwa wa bidhaa zake na pia kila anayeingia kwenye anga zangu lazima nimbabatizie atumie bidhaa zake. Kuna siku yule dada aliniambia kwa nini tusifanye wote ile biashara? maana mara nyingi huwa anaacha bidhaa zake kwangu ili wateja waje wachukue, namwambia No! this is your business, nakusaidia tu kama rafiki, na nimekuwa nikifanya hivyo, happily..... na sipati hata thumni
nimekupata rafiki....hahahah, sina doubt na mapenzi yako kwangu ambayo ni unconditional; lakini la kuzidiana rafiki mimi hata silijui na wala sijawahi lifikiria.
Urafiki ni kitu kingine, lakini hii ya kucoexist kwenye work place, society ni full mashindano na chuki; of course si kwa wote na huenda idadi isiwe kubwa kuliko ya waso na chuki lakini madhara ya chuki ya watu wawili ni makubwa sana kuliko mapendo au hata indifference ya watu wengine.
nimekupata rafiki....
halafu nakutafuta, leo hii itabidi tuwasiliane, kuna maelekezo nayahitaji toka kwako, please
ha haaa, you always tell me that, and I really believe you. You know I love you so much.You are special my dear; yaani ni wachache sana wenye mioyo kama yako; wengi wetu ni korosho mpaka basi. Mimi nina mmama mmoja hapa; yaani kila akipata nafasi ya kunizibia anaziba. Mengine Mungu akitilia mkono huwa yanakuja juu kwa juu basi ananunaga huyo.
Lakini nimejifunza kuwapenda watu wa hivyo, kwani ukiwatendea wema au kuwaombea ungrateful people basi unapata reward toka kwa Mungu ambayo huwezi fananisha na reward ambayo angekupa yule uliyemfanyia wema. So furahia siku zote wema wako usipolipwa kuliko ukilipwa.
BTW, when was the last time l told you how much l love you???
Kama walichangia waliotangulia ni kwamba baadhi ya watu wako tayari kuuza hata utu wa mtu kwa thamani ya kitu..Kwanini watanzania wengi hatupendani kwenye haya makampuni ya kigeni????
Most of them ni ma snitch to the bosses kumalizana sisi kwa sisi!!!!! tazama malipo ni madogo compared to them with same job description yet mtu anakubali kuwa puppet!!!!!! why?? why?? why??
Hakuna tabia inayoniudhi kama mnafiki!!!! witches are better than hypocrites!!!!!! unaweza dhani by doing that ma boss wakakupenda ila trust me waki meet wanakudiscuss imagining what you will be talking about them coz i know NO MATTER HOW THE TRUTH IS BURRIED IT WILL COME TO OPEN, ONE DAY AND YOU SHALL PAY THE CONSEQUENCES!!!!!!
Watanzania jamani tupendane kuushinda huu utumwa wa mawazo....
LOVE COVERS SIN
LOVE ENDURES ALL
LOVE IS ALL IN ALL WHEN YOU DWELL IN IT TRUTHFULLY
LOVE YOU ALL MMU CREW!!!!!!!