KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,098
- 1,345
Ukikua utajua
Swali la kindezi
Wewe usijafanye swali la kindezi ebu niambie kama unajua jinsia pindua yako anapataga utamu wa namna gani?
Tunasubiri 'udadafue' utamu.
Ukoje huo!!!! Jamani machozi yangu make nacheka mpaka nalia! Hahaha.....! Nafaaa jamani.Anapata utamu kibao bao... si anapiga bao na mm napataga wa kibaobao
Jamani leo mtaniuwa mwenzenu! Make nacheka mpaka basi badala ya kujibu swali mnazurula tu machakani....watoto waliolelewa nyumba zEnye sakafu madhara yake ndo haya walianguka ubungo ukacheza heri sie tuliyoangukia vumbi la chumbani kuliko wao walioangukia sakafu.
Hawana tofauti na huyu ukichanganya na siku alianguka akadhani hajaumia kumbe ubongo umecheza
Jamani leo mtaniuwa mwenzenu! Make nacheka mpaka basi badala ya kujibu swali mnazurula tu machakani....
Huyu jamaa kabalehe lini? Mbona anauliza maswali yasio na kichwa wala miguu.
Ebu tusaidiane hapa kwa hili, kama haujajarib bwanamdogo acha, mpaka utakapokuwa over 18
Umeacha njia unatembea porini. Umekwenda chaka.Ukiambiwa ubongo ulicheza unabisha, "JF kuna machaka ya mbigiri au nyasi? au machaka gani kama unamaanisha ma.vu.z utakuwa ubongo uliyumba