Tupeane uzoefu wa Samsung s9

Tupeane uzoefu wa Samsung s9

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
299
Reaction score
409
Habari wakuu...

Tupeane experience, hivi samsung s9 bado ni chaguo zuri kununua mwaka huu 2021 na mtanzania wa kawaida, Kufwatana na sifa zake... Ama ishapitwa na wakati?

Na kwanini?
 
  • 6.2"1440x2960 pixels
  • 12MP2160p
  • 6GB RAMExynos 9810
  • 3500mAhLi-Ion
  • release dete 2018
Mimi huko kote sina shida. Shida inaanzia hapo kwenye betri nahisi ni utopolo
 
Betri inakua kama pasi ya umeme au sio
 
Unaeza fanya kitu roho inapenda out of ignorance halaf ukaanza kujitukana [emoji23].... Knowledge is power mkuu
 
Mimi niko nayo hapa, naona bado inalipa kununua,,nikicheki camera yake,speed yake,perfomance yake kwa ujumla,muonekano bado ni good kwa kweli!!
 
S9 ni bidhaa salama kwa mtumiaji, labda ukutane na version isiyo ya ukanda wa huku kuna time network huwa inasumbua.
 
Mwaka 2021 siwezi kununua simu ya 2018 kwa kasi hii ya teknolojia.
 
Back
Top Bottom