...habari za saa izi wakuu...baada ya kufanya written interview ya uhamiaji tuliambiwa majibu ni baada ya cku 7...but kwny oral interview hatujaambiwa kua majibu yatakua lini...xo mwenye taarifa zozote kwny hili atusaidie kutujuza majibu ni lini tafadhali...asanteni sana... ....