Tupeane tendo ata kama tumegombana

Tupeane tendo ata kama tumegombana

Viungo vyetu havihusiani na ugomvi au mgogodoro wowote uliojitokeza kwenye mahusiano yetu.

Kunyimana tendo la ndoa kisa tumetofautiana kwenye kauli, kutokukupa pesa au majukumu mengine inakuwa haina maana.

Kama mpenzi wako anahamishia hasira kwenye kukunyima tendo kisa mmetofautiana kwenye mahusiano yenu, pigeni chini.

Huu ndio ushauri wangu kwa leo.

View attachment 2916147​
kuna rafiki yangu siku zingine huko nyuma aliwahi kunitonya kwamba shemeji yako kabadilika sana siku izi hanikaribishi chakula mezani, haniandalii maji kuoga na juzi nimemuomba tendo anasema amechoka, aliniudhi sana 🐒

sasa,
si unamfahamu mama Fulani, pale naenda kupiga, unamfahamu na yule dada muuza chakula pale kijiweni pia napita nae, sio hivyo tu pia na kuna dada mwingine alisoma nae vilevile anakusudia kupita nae.🐒

shemeji yako sitaki tena kumlala, sipendi ujinga ujinga 🐒

nikasema salaleeeeee 🐒

nikajisemea moyoni hiyo ndoa iko mlimani break zikikataa inaanguka hii 🐒
 
kuna rafiki yangu siku zingine huko nyuma aliwahi kunitonya kwamba shemeji yako kabadilika sana siku izi hanikaribishi chakula mezani, haniandalii maji kuoga na juzi nimemuomba tendo anasema amechoka, aliniudhi sana [emoji205]

sasa,
si unamfahamu mama Fulani, pale naenda kupiga, unamfahamu na yule dada muuza chakula pale kijiweni pia napita nae, sio hivyo tu pia na kuna dada mwingine alisoma nae vilevile anakusudia kupita nae.[emoji205]

shemeji yako sitaki tena kumlala, sipendi ujinga ujinga [emoji205]

nikasema salaleeeeee [emoji205]

nikajisemea moyoni hiyo ndoa iko mlimani break zikikataa inaanguka hii [emoji205]
Hii inatokea mara nyingi.

Ugomvi ukisha hamia kwenye sex, basi unakua mara mbili yake
 
kuna rafiki yangu siku zingine huko nyuma aliwahi kunitonya kwamba shemeji yako kabadilika sana siku izi hanikaribishi chakula mezani, haniandalii maji kuoga na juzi nimemuomba tendo anasema amechoka, aliniudhi sana 🐒

sasa,
si unamfahamu mama Fulani, pale naenda kupiga, unamfahamu na yule dada muuza chakula pale kijiweni pia napita nae, sio hivyo tu pia na kuna dada mwingine alisoma nae vilevile anakusudia kupita nae.🐒

shemeji yako sitaki tena kumlala, sipendi ujinga ujinga 🐒

nikasema salaleeeeee 🐒

nikajisemea moyoni hiyo ndoa iko mlimani break zikikataa inaanguka hii 🐒
Kuna wakati mahusiano yanahitaji uvumilivu
 
Back
Top Bottom