shule ya msingi bunge hakuna mgomo walimu karibu wote alikuwa madarasani. Kimsingi unafiki na njaa waliowayo wataanzania walo wengi nawashauri walimu warudi tu madarasaniNinaimani wanaJF tumetapakaa nchi nzima, naomba kila GT atujuze hali ya mgomo wa walimu ilivyo katika wilaya yake. Mimi niko Wilaya/Manispaa ya Ilala, jana nilizungimza na mratibu mmoja wa elimu akasema Ilala hakuna mgomo na kazi inaendelea kama kawaida. Lakini jioni mtoto wangu wa darasa la tatu nilipomuuliza alisema walimu walikuwa na mgomo shuleni kwao, alinipa vielelezo viwili: 1. Mwalimu wa kiingereza ambaye mara nyingi jumatatu hukagua kama wamefanya h/w aliyowapa last week hakufanya kama alivyozoea.2. Mda mwingi walimu walikuwa wamejifungia kwenye ofisi ya walimu, anadhani walikuwa na mgomo.Hebu tupeana taarifa kamili za kila kona ili tuweze kutathmin kwa manufaa ya jamii. Karibuni.
Wajinga wengi katika nchi ya Tanzania wapo Dar ES salaam Siyo katika taasisi au nyanja chache bali zilizonyingi.Hata kukubali mageuzi Dar itakuwa ya mwisho na ndiyo maana hata inaongoza kwa uchafu duniani.Mie nawafagilia watu mikoani kama songea,Musoma,singida na kwingineko wana ufahamu na uelewa sana lakini siyo dar.Dar haina tofauti sana na Lindi nafuu hata Mtwara kuna vinjwa huko.Kama watu waliopo dar wasingekuwa na afadhali ya kupata huduma kama radio ,umeme na TV naamini watu wengi hivi sasa wangeendelea kutembea na wametapakaa mavi kama siyo kinyesi.