bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Wewe si umeomba TRA? Lazima uijue TRA hata kama umeomba uanasheria.Mkuu tulioomba SYSTEM ADMINISTRATOR au BUSINESS ANALYSIS ......hiyo vipi?
Njia yako wewe ni ipi mkuu?weka hapa ndio dhumuni la uzi huu.Discussion.Duh! Komaa na hali yako bhana! ulichokisomea ndio possible yako. Msifoji njia za kupata ajira!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi Kazi za serikalini za kada zenye bodi ya taaluma.. interview paper zake hutungwa na bodi husikaMods please msifute huu uzi,this is not a leak ni mawazo tu yakujadiliana hapa na wadau.
Fahamu TRA imeanzishwa lini na kwa sheria ipi na imeanza kazi lini.
Soma kuhusu Corporate Plan yao ya 4 ya 2013/14-2017/18,hapa utakutana na mambo kama Mission,Vision,Themes and Perspectives.Pitia kwa juu juu plans zilizopita nyuma ujue malengo yake,mafanikio na changamoto zao.Uelezee pia kwamba hii plan imekwenda sambamba na maono ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa kama MDGs,Vision 2025,NSGRP II,MKUZA II,KILIMO KWANZA,BRN and FYDP 2011-2016
Organisation Structure yao lazima uijue,Boards na Standing Committees,Directors and their deputies,commissioner general and deputy.Departments zote kama Domestic Revenue,Large Taxpayers and its sub departments.Hii itakusaidia kujua haswa TRA wamejipangaje.Mfano Customs and Excise Department kuna Deputy Commissioners wanaosimamia Trade facilitation and procedures,Risk management and modernisation,Compliance and Enforcement pamoja na TRA Zanzibar.
Wafahame wadau wao kama mlipa kodi mwenyewe,taasisi za kifedha ,wizara, idara, wakala mbalimbali wa serikali n,k
Ijue pia taxpayers Charter,mwongozo unaoonyesha wajibu na haki katika huduma mbalimbali anazopata mteja toka kwa TRA.
Fahamu services which are provided kama tax assessment,collection and accounting,training n.k
Kikubwa zaidi ujue kuhusu all types of taxes wanazodeal nazo,kuanzia income tax ,skills and development levy,corporate tax ,PAYE,withholding tax mpaka stamp duty,pia fahamu Acts tofauti tofauti kwa juu juu kama East Africa Community Customs Management Act 2004.
Pia usisahau kujikita zaidi katika ile post yako uliyoomba na usome pia duties and responsibilities.Kwa mfano kama umeomba customs officer basi ujitahidi hata uwe na idea kuhusu import and export procedures n,k
Chanzo www.tra.go.tz
NBAA ndio wanatunga pepa la TRA?Siku hizi Kazi za serikalini za kada zenye bodi ya taaluma.. interview paper zake hutungwa na bodi husika
Mitihan inayotungwa na nbaa haina longolongo nyingi ni shule kuanzia written hadi oral labda ujue tu kazi za taasisi tena ukifika oral.
Sent using Jamii Forums mobile app
That will be easier.usishangae unaingia kwa pepa unakuta grammer, BODMAS na probability. [HASHTAG]#justSayn[/HASHTAG]
Pole mkuu ila Ukikate tamaa omba tena ajira zingine zitakazotangazwa
😱😱😱 unaweza kuta maswali ya trapeza ...usishangae unaingia kwa pepa unakuta grammer, BODMAS na probability. [HASHTAG]#justSayn[/HASHTAG]
Mkuu tulioomba SYSTEM ADMINISTRATOR au BUSINESS ANALYSIS ......hiyo vipi?
kivipi mkuuI wish paper Iwe kigeneral Lakini odds are kukutana na mambo ya darasani sana as nimesikia sehemu kuwa MZUMBE ndo watasimamia mchongo mzima.....
soma notes za system analysis and design, software engineering, infomation system project managment, na database managment usome kwenye relational database na query uzijue, kama sasa chuoni mwalimu hakuwa nondo hapa utapotea. SDLC ujue phase zake zote na kwa kila phase nn kinafanyika, mm pia naenda kufanya business analyst. NOTE haya maelekezo ni kwa business analyst kwa system administrator soma LINUX, jua commands zote za LINUX, jua window server 2003 na 2008, hop ukijazia na vingine kutoka kwa wataalam wengine tutatoboa Mungu atuonekanieMkuu tulioomba SYSTEM ADMINISTRATOR au BUSINESS ANALYSIS ......hiyo vipi?
soma notes za system analysis and design, software engineering, infomation system project managment, na database managment usome kwenye relational database na query uzijue, kama sasa chuoni mwalimu hakuwa nondo hapa utapotea. SDLC ujue phase zake zote na kwa kila phase nn kinafanyika, mm pia naenda kufanya business analyst. NOTE haya maelekezo ni kwa business analyst kwa system administrator soma LINUX, jua commands zote za LINUX, jua window server 2003 na 2008, hop ukijazia na vingine kutoka kwa wataalam wengine tutatoboa Mungu atuonekanie
Huu ni Ushauri mzuri katika huu uzi, Ila naomba niongeze kitu kwenu, unaposoma hizo Notes jitahidi kuelewa usikariri ikibidi. Maana sometimes Utumish wanatoaga Multiple choice alafu majibu yake ni 5 yaan A-E, Afu unakuta hayo yote yanafanania na jibu sasa kama umekariri ni rahisi sana kuchanganya madesasoma notes za system analysis and design, software engineering, infomation system project managment, na database managment usome kwenye relational database na query uzijue, kama sasa chuoni mwalimu hakuwa nondo hapa utapotea. SDLC ujue phase zake zote na kwa kila phase nn kinafanyika, mm pia naenda kufanya business analyst. NOTE haya maelekezo ni kwa business analyst kwa system administrator soma LINUX, jua commands zote za LINUX, jua window server 2003 na 2008, hop ukijazia na vingine kutoka kwa wataalam wengine tutatoboa Mungu atuonekanie