MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,084 Nov 5, 2015 #41 Darius said: tar31oct2015 English premier ligi ..Chelsea vs Liverpool full time matokeo yalikuwa ni ngapi ngapi...????@10 marks Click to expand... Liver 3-1 Chel
Darius said: tar31oct2015 English premier ligi ..Chelsea vs Liverpool full time matokeo yalikuwa ni ngapi ngapi...????@10 marks Click to expand... Liver 3-1 Chel
I irene naipanoi Member Joined Oct 19, 2015 Posts 17 Reaction score 10 Nov 5, 2015 #42 Hivi humu ndani kumbe kuna watoto wa sekondari, ndio maana watu wanapoomba ushauri wa ndoa wanapewa majibu ya ajabu ajabu kumbe kuna watoto, aisee
Hivi humu ndani kumbe kuna watoto wa sekondari, ndio maana watu wanapoomba ushauri wa ndoa wanapewa majibu ya ajabu ajabu kumbe kuna watoto, aisee
M Mwarabu wa kayenze Member Joined Jun 4, 2015 Posts 68 Reaction score 48 Nov 5, 2015 #43 nyambafu kabsa! possible unashinda kwenye mtandao!
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,084 Nov 5, 2015 #44 Nafananisha na Chuo Kikuu kumwambia Lecturer awape U.E Area of concetration anakwambia usome alipoanza kufundisha hadi alipoishia, nawe kijana soma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne majibu yamo.
Nafananisha na Chuo Kikuu kumwambia Lecturer awape U.E Area of concetration anakwambia usome alipoanza kufundisha hadi alipoishia, nawe kijana soma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne majibu yamo.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,368 Nov 5, 2015 #45 irene naipanoi said: Hivi humu ndani kumbe kuna watoto wa sekondari, ndio maana watu wanapoomba ushauri wa ndoa wanapewa majibu ya ajabu ajabu kumbe kuna watoto, aisee Click to expand... sisi ni vijana wa sekondari sio watoto.
irene naipanoi said: Hivi humu ndani kumbe kuna watoto wa sekondari, ndio maana watu wanapoomba ushauri wa ndoa wanapewa majibu ya ajabu ajabu kumbe kuna watoto, aisee Click to expand... sisi ni vijana wa sekondari sio watoto.