KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 633
Tuliosoma shule za vijijini kipindi hicho tulikuwa tunasikia watu walipata pepa mitihani imeshakwisha.Haaaa Sema sikuzitegemea hizo tu, ningesha faint nahisi.
matango pori yanasaidia kama topic zote zinazotakiwa kusoma ulizi-cover fresh..........coz matongopori yanaweza yasiwe yenyewe lakin yaka-relate na national exam yenyewe.......
kichwa cha habari hapo juu kinajieleza sio matango pori.
tar31oct2015 English premier ligi ..Chelsea vs Liverpool full time matokeo yalikuwa ni ngapi ngapi...????@10 marks
Tuliosoma shule za vijijini kipindi hicho tulikuwa tunasikia watu walipata pepa mitihani imeshakwisha.
Nilikuwa sitaki hata kuzisikia maana walimu wetu walikuwa wametujengea kujiamini.
Revise yote mliyojifunza halafu andaa possible questions.kichwa cha habari hapo juu kinajieleza sio matango pori.
Sasa kama BRN ipo cha kufia nini......Watoto wanamtihani wanashinda jf...discuss
Sasa kama BRN ipo cha kufia nini......
kichwa cha habari hapo juu kinajieleza sio matango pori.
matango pori yanasaidia kama topic zote zinazotakiwa kusoma ulizi-cover fresh..........coz matongopori yanaweza yasiwe yenyewe lakin yaka-relate na national exam yenyewe.......
Watoto wanamtihani wanashinda jf...discuss