kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,784
Ili mtu wa Namtumbo ndanindani anijue nifanye nini?Mkuu kokudo Inabidi upitie zote Tatu ili kupata matokeo mazuri.
Lazima watu wakufahamu kwanza wewe na kile unachokifanya kisha kuwatengenezea mazingira ya kukuamini na baada ya hapo kujenga ukaribu na wewe ambapo utaweza kuwauzia huduma au bidhaa yako bila tatizo.
Muhimu kuanza.