Tupe xperience yako ya umri wa mchepuko wako

Tupe xperience yako ya umri wa mchepuko wako

Sniper don

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
287
Reaction score
471
Aiseee salama watu wangu wa nguvu?
Napenda kuwaambia pia wanaume ambao michepuko yetu ni age 20 hadi 23 tuna raha sana maana unapata new things everyday cha muhim we mpe hela tu..
Sio mwanaume unamuacha mke wako mke wa miaka 35 then unakua na mchepuko wa miaka 40 huo ni umama.

Mchepuko uwe dogodogo ndio raha maana ndio kwanza mtoto mbichimbichi yaani unapata vitu current tu..sio unakua na li mchepuko umri zaidi ya mke wako maana yake ni nini...
20 to 23 ndio habari aiseeee..
 
Siku hizi dhambi na uasi sheria imeonekana ni Kama vitu vya kawaida nyakati hizi za mwisho wa mfumo wa Mambo.
 
Back
Top Bottom