Pole kwa uliyopitia na hongera kwa kupita salama. Nijuavyo mimi wanawake hatufanani hata kwenye mambo ya kawaida sasa inawezekana hata tuwapo wajawazito pia hatufanani kwani kila mmoja wetu ana experience ya peke yake . Kuna wengine hulia sana wakati wa kujifungua na wengine huwa kimya kabisa kama kwamba hana maumivu na wengine kipindi cha ujauzito huwa na nguvu ya kufanya kila kitu wengine hapana. Ninachoweza tu kusema tuko tofauti hata sijui kwanini labda malezi na koo tunazotoka .hakuna shida sunian kama watu kushindwa kuvumiliana, muda mwingine mimba ina maudhi madogo madogo lkn yenyen karaha kuliko kawaida na ukiichezea waweza kumpanda mtu kichwan.
sitak kumsema huyu mwanamke vibaya lkn inawezekana mtoa mada akaangalia upande mmoja tu wa sh. ageuze na upande wa pili tuone hali halisi.
nimezaa mara 3 na katika mara zote, nilijitahd sana kutokuwa msumbufu manake i used to tell myself mimba sio ugonjwa na wala sio umwinyi. papo mahal diabetes ilinisumbua sana lkn hata hapo sikujiendekeza manake kwanza kwa kujua niko na diabestes halafu ni mjamzito nilikuwa nashindw akumwomba Mungu anipe moyo wa subira, na uvumilivu na anio0ngoze jins ya kuishi ili nisiwe mzigo kwa yyte yule............
diabetes ilinichukua kiasi kwamba nikawa sina nguvu na mimba ni miez sita, ila nilijisemea sitak huruma zisizo na sababu i did let my hubby kwenda safari kikazi nikabaki nyumban na hali ambayo hata yy hakuwa anajua hatma yake the only thing i said to him ni kwamba kuish na kufa yote yapo mikononi mwa alotuumba so hata kama nikigoma asiende ni wazi kwamba hana msaada kwa wakati huo.
nakumbuka nilipoandikiwa siku ya kulazwa baada ya hali kuwa mbaya sana yeye hakuwepo lkn nilitoka na mwanangu mkubwa hadi hosp na Dr wakaona wanilaze i just told my kids watulie home waniombee sihitaj chakula wala nguo za kubadili i will manage to do my washing alone nikiwa hosp. waliona kama najitesa lkn nilitaka kuwa mzima so kulea ugonjwa sikupenda kabisa.
najifungua mtoto kwa CS niko pake yangu, na wanakuja wananikuta nimepakata kichanga na maisha yakasonga mbele.......toka hapo nilijifunza jambo kubwa sana kwamba muda mwingine haliz a mimba tukiziendeleza zina tukomesha na abadan MIMBA IKIINGIA HUWA INAKUULIZA NIKUWEZE AMA UNIWEZE?? UKIIAMBIA NIWEZE BASI HAMNA RANGI UTAACHA ONA NA MAUDHI YOTE YA DUNIA YATAKUWA JUU YAKO NA UKIIAMBIA NAKUWEZA UTAIWEZA NA HAITAKUWA KARAHA KWAKO.
huyu kaka kmpiga mkewe ni kosa sana, lkn take it from hakumpiga kwasababu aliona raha bali aliumia kuona ambavyo mkewe tena mjamzito kajipeleka kuumia mwenyewe ninja uhakika hilo jambo la kumfumania huyu shemej hakutaka na alitaka ajipooze ila kwa usiri sasa alipotokea mkewe akaona kwann amekuja kujiumiza kwa mambo kama haya?? nimejaribu tu kufikiri kwa njia pana zaid .
am sorry kama mtakwazika
Pole kwa uliyopitia na hongera kwa kupita salama. Nijuavyo mimi wanawake hatufanani hata kwenye mambo ya kawaida sasa inawezekana hata tuwapo wajawazito pia hatufanani kwani kila mmoja wetu ana experience ya peke yake . Kuna wengine hulia sana wakati wa kujifungua na wengine huwa kimya kabisa kama kwamba hana maumivu na wengine kipindi cha ujauzito huwa na nguvu ya kufanya kila kitu wengine hapana. Ninachoweza tu kusema tuko tofauti hata sijui kwanini labda malezi na koo tunazotoka .
Namshukuru mkwe wangu na mume wangu kwani daima walikua pamoja nami hata kwa mtoto wa mwisho. Ni kweli kuna wamama wanapitiliza lkn bado tuwahurumie ule mziki mnene. Sisi wamama wa sasa tujitahidi kuwafundisha uvumilivu watoto wetu wa kike na wa kiume .Kama ulivyoeleza maelezo haya akiambiwa kila mara mtoto wa kike naamini hawezi kujiachia kipindi chake kitakapofika. Na mtoto wa kiume pia tusimwache nyuma tumfundishe namna ya kubehave wakati mkewe awapo kwenye hali hii. Hapo tutapata mazao bora.
Hahahahahaha nafikiri haya yote yanatokana na utaratibu wa maisha waliojiwekea. Kama huwa hakuna upendo hapo lazima mama atumie nafac ya ujauzito kumkomesha baba. Nampenda sana mume wangu na kipindi nahangaika na mambo haya nilijizuia mengi na alinisaidia sana kupita salama . Sikutaka kumuumiza hata kidogo ingawa nafsi yangu ilimchukia vibaya mno kwa ujauzito wa kwanza.kuna wanawake wana kera wewe haswa wakiwa na mimba usipime, tena huwaga kama vile wana nuia kwamba mimbaq hii nambebea baba fulan
sijui tu nkwann siku hizi
sieleweki sana kama zaman nafkiri nibadili aina ya kufikiri.
kitendo cha dada yakjoi kutaka ukwaju kwa mumewe tuu kwanza mie nakiona
kama alikuwa anajiendekeza manake huko ni kudeka tu na si kwamba akileta
mume ladha inakuwa nzuriii kuna watu hudhyan mimba ndo tiket ya umwinyi
na hivyo kumfanya mume mtumwa sorry lkn............
to me hii hali shemej aliiona na akataka kuikomesha kabisa na sikufich
huyu bwana alitoka naje kwasababu ya maudhi na madeko ya dada
yetu
mambo ya ujauzito .ni
magumu sana, nakumbuka, ujauzito wa kwanza kwa wife ulikuwa mgumu sana,
kwanda Ndio nilikuwa tunaanza maisha ya pamoja baada miezi 6 ya ndoa,
nilikuwa nalazimishwa kula ubuyu hata sasa .za manane, chumba chote
kilijaa mbegu .za ubuyu.
ukifika wakati wa clinic ikiwa sipo mtu haendi lazima niwepo.
Leo hii nipo tanga kikazi lakini tunasubiria mgeni mwingine, niko nae
hapa, asubuhi nilivyomwambia nakwenda tanga nae akitoka moshi kwenda
Dar,akazimisha kushuka segera, ikabidi nikubali kumsubiri....
ukweli .ni raha sana naona kulea mimba kisha mtoto ...
Pole kwa uliyopitia na
hongera kwa kupita salama. Nijuavyo mimi wanawake hatufanani hata kwenye
mambo ya kawaida sasa inawezekana hata tuwapo wajawazito pia hatufanani
kwani kila mmoja wetu ana experience ya peke yake . Kuna wengine hulia
sana wakati wa kujifungua na wengine huwa kimya kabisa kama kwamba hana
maumivu na wengine kipindi cha ujauzito huwa na nguvu ya kufanya kila
kitu wengine hapana. Ninachoweza tu kusema tuko tofauti hata sijui
kwanini labda malezi na koo tunazotoka .
Namshukuru mkwe wangu na mume wangu kwani daima walikua pamoja nami hata
kwa mtoto wa mwisho. Ni kweli kuna wamama wanapitiliza lkn bado
tuwahurumie ule mziki mnene. Sisi wamama wa sasa tujitahidi kuwafundisha
uvumilivu watoto wetu wa kike na wa kiume .Kama ulivyoeleza maelezo
haya akiambiwa kila mara mtoto wa kike naamini hawezi kujiachia kipindi
chake kitakapofika. Na mtoto wa kiume pia tusimwache nyuma tumfundishe
namna ya kubehave wakati mkewe awapo kwenye hali hii. Hapo tutapata
mazao bora.
there you are talking
now!!
ni kweli kuna kila sababu ya kuwafunza watoto wetu kuwajibika kila mtu
kwa nafasi yake na pia kuwafundisha nidham kwenye maisha yetu ya kila
siku. uvumilivu ni msingi wa kila jambo.
na katika mafunzo haya watoto wote wapatiwe si wa kike tu bali hata wa
kiume.
Hahahaha umenifanya nifurahi. Unajua huyu niliye nae nilifanya maombi ya dhati kwa Bwana naye akanijibu sawasawa na nilivyoomba nakumbuka Enzi hizo nilikua nafanya kazi kukawa na wengi walionifuata lkn moyoni nilisita sana. Namshukuru sana Mungu kwa hili na natoa ushauri kwa wadada wanaotaka mume mwema wamuombe Bwana kwa dhati kwani alishaga sema mke/mume ni wajibu wake kukupatia na daima atoacho Bwana huwa chema lkn mpaka umuombe.how lovelyaka
wish wote wangekua kama wewe au kama mume wa Ablessed