wanaume baadhi ni wapyumbavu sana
hua hawakumbuki kua mimba si kilema
akiona mwanamke na tumbo lake hawezi mibinjuo
basi soltn ni kutoka nje,na kumnyanyapaa mke kisa mimba
haya sasa mke kajifungua anataka nini,alisahau nini,ningechoma
zawadi zake mbele yake,yule aliempenda kipindi mwenzie mja mzito
kaishia wapi?na wanaambiwa mkosee mwanamke akiwa mzima,lakini
akiwa ktk hali ya mimba jitahidi kumridhisha mkeo coz ukimuumiza
yale maumivu hua ni ngumu kutoka moyoni!!shikamooni wanaume!!
miezi tisa hata sio mingi kivile...na mwenye mimba akipata msongo wa mawazo tu basi inamuathiri sana yani..
Ndio maana, sasa nakuelewa ukilalamika.
Kuikweli mimba hazitabiriki, na mwanamme akizubaa unampanda kichwani, sio kwamba unakuwa na nia ya kumpanda kichwani, sometimes vitu unavyotaka hazitekelezeki ama ni uzembe wa mjamzito.
Mie niliwahi kulia kutwa nzima kisa mtu kashindwa kuniletea chips kuku, sikuwa na hela hapana, sikuweza kupika home, hapana, ila zake zilikuwa tamu zaidi. Imagine lunch time mtu atoke posta kuleta chips kuku survey, can u imagine? I felt so stupid baada ya kujifungua, na mara nyingi akinikumbusha huwa nakasirika sana.
But, kuna vitu vingine alifanya vya ajabu ajabu sana, kuhakikisha udongo haukosekani, ananununua wapi sitai kujua, nachotaka udongo toka Mwanza. Sometimes unakuta mtu kabeba brifcase uadhani kuna mihela kumbe kuna udongo anapeleka home.
Mimba sio ugonjwa wa akili, lazima mjamzito ajitahidi kubalance ili maisha yaende. Haiwezekani mtoto wa watu awe mtumwa kisa tu mimba, haikubaliki. Ila hapo kwenye kuchit hapo sikubaliani napo.
Hili swali liko strategic sana.
Wasingeweza kuvumilia manake ujauzito una mengi . Mwanamke amepewa neema/uwezo wa kuipitia hali hiyo.Ukitaka kuamini kwamba hawawezi wewe mshuhudie baba akiwa anaumwa vituko anavyofanya tena hapo kichwa tu kinagonga mbona hutalala. Kila nikikumbukaga hali hii ya ujauzito huwa siitamani kabisa , kipindi kibaya ni kile cha miezi ya mwisho ile kuamka amka kwenda wasthroom kwa interval ya muda mfupi duh.Yaan wanaume wangekuwa wanabeba mimba wangeelewa hali wanaojisikia watu!!!!
Hivi kutumika kwa mkeo kwa kipind hicho kifupi tatizo li wapi???
Kutoka nje ya ndoa yako haikubalik lakin basi fanya kwa akili na mkeo asigundue.
Hapo kwenye kipigo ndo kaniacha hoi kabisa yani.......!!!!!
Yaan wanaume wangekuwa wanabeba mimba wangeelewa hali wanaojisikia watu!!!!
Hivi kutumika kwa mkeo kwa kipind hicho kifupi tatizo li wapi???
Kutoka nje ya ndoa yako haikubalik lakin basi fanya kwa akili na mkeo asigundue.
Hapo kwenye kipigo ndo kaniacha hoi kabisa yani.......!!!!!
Wasingeweza kuvumilia manake ujauzito una mengi . Mwanamke amepewa neema/uwezo wa kuipitia hali hiyo.Ukitaka kuamini kwamba hawawezi wewe mshuhudie baba akiwa anaumwa vituko anavyofanya tena hapo kichwa tu kinagonga mbona hutalala. Kila nikikumbukaga hali hii ya ujauzito huwa siitamani kabisa , kipindi kibaya ni kile cha miezi ya mwisho ile kuamka amka kwenda wasthroom kwa interval ya muda mfupi duh.
Huyo baba anawakilisha mababa kadhaa wakatili . Badala ya mkewe kumchukia yeye ndio alionyesha chuki ya wazi hata kudiriki kumdunda jamani. Ana bahati sana anaishi huku kwetu angekua anaishi nchi ambazo sheria zinafanya kazi nadhani angeswekwa lupango.
Nikijibu hili swali la mwisho inategemea unazungumzia familia ya aina gani lbd kwa familia zile ambazo baba ndio mleta mkate nyumbani , lkn kwa family ambazo mama nae ana majukumu ya kuisaka hela hili ni tofauti. So ningepewa kuwa mwanaume kwa masaa ningefanya vema kwa neema ya Mungu na ugumu wowote ambao ningeupata naamini ningekabiliana nao na kuwa proud of it hasa baada ya kuyashinda magumu na huo ndio uanaume sio kukaa na kuhuzunika kwani mwanaume kazi sio maneno.na hivi unajua mumie kwamba kuna wakati zile karaha za mimba anazipata baba?? psychologically hili huweza kutokea na wenyewe hu act kama vile ambavyo mke ange act.
niliwah kuwaza kama wewe mara nyingi sana siku za nyuma lkn toka nilipoamua kuwa mtu ambaye na pima mambo kwa pande mbili basi ni wazi kwamba wanaume wangekuwa wanabeba mimba wangezoea na wala isinge kuwa ishu nkama tunavyodhan leo hii.
ni ukweli kwamba ujauzito na kuzaa ni matendo ambayo huacha doa ama alama kwa mwanamke tena isofutika manake mama yyte muulize maudhi alopata kwa mimba za wanae kila mmoja atakwambia maudhi yake yote lkn huwa pia naona hata kwa wanaume ingekuwa wao wanabeba basi hali ingekuwa hivyo hivyo tu.
Hivi umeshawah kujiuliza siku upewe kuwa mwanaume kwa masaa tuuu uone jins ilivo ngumu??
Nikijibu hili swali la mwisho inategemea unazungumzia familia ya aina gani lbd kwa familia zile ambazo baba ndio mleta mkate nyumbani , lkn kwa family ambazo mama nae ana majukumu ya kuisaka hela hili ni tofauti. So ningepewa kuwa mwanaume kwa masaa ningefanya vema kwa neema ya Mungu na ugumu wowote ambao ningeupata naamini ningekabiliana nao na kuwa proud of it hasa baada ya kuyashinda magumu na huo ndio uanaume sio kukaa na kuhuzunika kwani mwanaume kazi sio maneno.
Uzuri ni kwamba Mungu kampa kila mmoja majukumu yake baada ya kuasi wazazi wetu wa mwanzo lkn ni vema wanandoa wakavumiliana na huu uvumilivu usiwe wa upande mmoja tu bali pande zote mbili. Mama awapo ktk hali hii basi baba aonyeshe uvumilivu kama ambavyo mama huvumilia mengi toka kwa baba. Hivi kweli gsonwin unaamini Mungu anaweza kuweka chuki ndani ya mwanaume mpaka amshushie kipigo kama hicho kwa mkewe. Nimezungumzia upande mmoja lkn na wamama tunapaswa kua na kiasi ktk kipindi hiki ni kweli kuna wengine hu-overdo na wengine hukopi toka kwingine lkn bado uvumilivu unatakiwa.
hiki kitu nimexperiance
nikiwa na miaka mitano na sita sahau wakati mama yangu anaujauzito wa
mdogo wangu wa tatu baba alivyoamua kutembea na mwanamke jirani yetu na
kuja kumtukana mama nyumbani na mama mkwe na baba kusupport upuuzi wa
huyu mwanamke ......... nimesoma hadi machozi yamenitoka nilikuwa mdogo
but mpaka leo nakumbuka................ kwa sababu huyo mama alikuwa
anataka kutua me na mdogo wangu ili aingie ndani......... nisiseme mengi
its real pain ...... i love ma dady sana becaus alikuja kuomba msamaha
though ilikuwa too late sana na pia alihakikisha tunapata haki zetu
nyumbani.. though ma mama ilikuwa inamuuma sana ............
advice: wanaume pendeni wake zenu hasa kipindi
cha ujauzito, kutumwa ice ream, mkwaju na ubuyu ni kitu kidogo lakini
kina weka upendo mkubwa sana katika familia, hata ukiwa na nyumba ndogo
usimdharau mkeo......... unamuumiza mama na mtoto... fikiria
unachomfanyia mkeo je akifa ghafla huyo nyumba ndogo anauwezo wa kulelea
watoto wako? anauwezo wa kukuvumilia wakati wa shida na raha? je
unatengeneza kizazi gani mbeleni? ni watu wangapi utawaumiza kutokana na
tabia yako hiyo aiseee inaumiza sana.. ............
Yaan wanaume wangekuwa wanabeba mimba wangeelewa hali wanaojisikia watu!!!!
Hivi kutumika kwa mkeo kwa kipind hicho kifupi tatizo li wapi???
Kutoka nje ya ndoa yako haikubalik lakin basi fanya kwa akili na mkeo asigundue.
Hapo kwenye kipigo ndo kaniacha hoi kabisa yani.......!!!!!
mwallu
haya mambo yanawakuta wengi sana hasa wawapo ktk hali hiyo ya ujauzito.
Wanawake wengi wananyanyaswa sana hata unaona baadhi ya michango
inaonyesa kabisa hali halisi. Kwani kumnunulia mkeo kitu roho yake
inapenda kuna shida gani hata kinauzwa maili moja. Wanaume kadhaa
nimewashuhudia wakiwatesa wake zao wawapo ktk hali hii. Wengine hupigwa
vibaya mno na wengine huchukiwa mno na wenzi wao. Tena wengine hata
wakiumwa uchungu wababa huwa hawajali na mama anaamua kwenda hospt peke
yake au anapelekwa na majirani tu .
Nakumbuka ujauzito wa kwanza sikua naweza kula kitu lkn nilikua natamani
vitu vingi na mume wangu alikua mvumilivu sana kwani ilikua nikitamani
ndizi za kuchoma alitoka na kuzinunua lkn ilikua nikisha ziona tu hamu
yote inaisha hivyo sikuzila. Siku moja nilitamani pilau la kipaimara
jamani ujauzito kazi sana , basi nilienda kulifuata hapo jirani lkn
nilipoliona na kulitia mdomoni sikulitamani tena.
Shukrani za pekee zimwendee mume wangu kwani alikua karibu nami wakati
wote. Nilimchukia sana lkn nilijizuia kumuonyesha chuki na kila
aliponiuliza kama namchukia alikuta tabasamu la ajabu usoni nilimjibu
hapana eti alikua anatoa harufu ya vitunguu saumu muda wote sijui
kwanini tu wakati ni mtu msafi sana na hakua anatafuna vitunguu. Jamani
alikua akipaka mafuta yalikua yanaharufu mbaya sana kwangu nilivumilia
hili ili asijisikie vibaya. Mtoto alipozaliwa ilikua photocopy alifurahi
mno na alisahau yote.
Ujauzito una mambo mengi wapendwa ni vizuri ukamjua mkeo vema kabla na
wakati wa hali hii ili uweze kumsaidia. Kipindi hiki mama anahitaji
ukaribu wa ajabu jitoeni kwa ajili yao. Nachukia sana ukatili wa aina
zote anaofanyiwa mama na mtoto aliye tumboni . Mbona jamani kuna wababa
hurudi usiku wa manane na hawataki chakula cha kwenye hot pot wanataka
kupikiwa ugali muda warudipo na wamama wanafanya, hebu watieni moyo wake
zenu nanyi watumikieni kwa kipindi hicho ambacho si kirefu.
hakuna shida sunian kama
watu kushindwa kuvumiliana, muda mwingine mimba ina maudhi madogo madogo
lkn yenyen karaha kuliko kawaida na ukiichezea waweza kumpanda mtu
kichwan.
sitak kumsema huyu mwanamke vibaya lkn inawezekana mtoa mada akaangalia
upande mmoja tu wa sh. ageuze na upande wa pili tuone hali halisi.
nimezaa mara 3 na katika mara zote, nilijitahd sana kutokuwa msumbufu
manake i used to tell myself mimba sio ugonjwa na wala sio umwinyi. papo
mahal diabetes ilinisumbua sana lkn hata hapo sikujiendekeza manake
kwanza kwa kujua niko na diabestes halafu ni mjamzito nilikuwa nashindw
akumwomba Mungu anipe moyo wa subira, na uvumilivu na anio0ngoze jins ya
kuishi ili nisiwe mzigo kwa yyte yule............
diabetes ilinichukua kiasi kwamba nikawa sina nguvu na mimba ni miez
sita, ila nilijisemea sitak huruma zisizo na sababu i did let my hubby
kwenda safari kikazi nikabaki nyumban na hali ambayo hata yy hakuwa
anajua hatma yake the only thing i said to him ni kwamba kuish na kufa
yote yapo mikononi mwa alotuumba so hata kama nikigoma asiende ni wazi
kwamba hana msaada kwa wakati huo.
nakumbuka nilipoandikiwa siku ya kulazwa baada ya hali kuwa mbaya sana
yeye hakuwepo lkn nilitoka na mwanangu mkubwa hadi hosp na Dr wakaona
wanilaze i just told my kids watulie home waniombee sihitaj chakula wala
nguo za kubadili i will manage to do my washing alone nikiwa hosp.
waliona kama najitesa lkn nilitaka kuwa mzima so kulea ugonjwa sikupenda
kabisa.
najifungua mtoto kwa CS niko pake yangu, na wanakuja wananikuta
nimepakata kichanga na maisha yakasonga mbele.......toka hapo
nilijifunza jambo kubwa sana kwamba muda mwingine haliz a mimba
tukiziendeleza zina tukomesha na abadan MIMBA IKIINGIA HUWA INAKUULIZA
NIKUWEZE AMA UNIWEZE?? UKIIAMBIA NIWEZE BASI HAMNA RANGI UTAACHA ONA NA
MAUDHI YOTE YA DUNIA YATAKUWA JUU YAKO NA UKIIAMBIA NAKUWEZA UTAIWEZA NA
HAITAKUWA KARAHA KWAKO.
huyu kaka kmpiga mkewe ni kosa sana, lkn take it from hakumpiga
kwasababu aliona raha bali aliumia kuona ambavyo mkewe tena mjamzito
kajipeleka kuumia mwenyewe ninja uhakika hilo jambo la kumfumania huyu
shemej hakutaka na alitaka ajipooze ila kwa usiri sasa alipotokea mkewe
akaona kwann amekuja kujiumiza kwa mambo kama haya?? nimejaribu tu
kufikiri kwa njia pana zaid .
am sorry kama mtakwazika
Asanteeeehongera kwa kupata mume muelewa..dadangu hajapata bahati hiyo
Rafiki nashukuru kwa mchango wako ingawa sikubaliani nayo yote. Inawezekana mimi niko kiimani zaidi sasa nachanganya mambo hapa. Siioni kabisaaaa hiyo excuse ya mtu kukosa huduma sababu ya ujauzito na kwenda kuitafuta nje. Pia nashindwa kuiona hiyo huruma ya huyo baba kwa mkewe. Namshukuru Mungu kwa kuwa hivi nilivyo na alijua toka mwanzo kwamba mume type hiyo hanistahili.Naomba nitoe mifano ya familia nizijuazo, both wife na hubby are bread winners incluiding my only family, lakin lijapo swala la majukumu as hubby and as father wanaume wanayo majukumu mazito sana tena ambayo you cant believe.
ukitaka kuamini hayo angalia expectation ambazo jamii iko nazo juu ya hubby wako kwenye maswala ya kawaida tu, angalia roles anazotakiwa a play kama mwanaume kwenye jamii..............manakoe uanaume sio kusaka pesa tu la hasha ni zaid ya hapo.............sijui kama utanielewa hapa.
swala la huyu shemej kumpiga mkewe am telling you kampiga kwasababu kaona mkewe kaenda kujiumiza mwenyewe na ni kitu ambacho hakupenda. ukitaka kujua kwamba hakupenda tizama aliondoka home wiki 2 na hata mkewe alipojifungua kadiriki kujishusha kwake.............name it anythi9ng lakin huyu kaka kafanyua haya kwa sababu kuu tu...........
hakuwa anapata huduma kwa mkewe akaendea kuitafuta nje of which baadhi ya wanaume hufanya hivi hasa wake zao wanapokuwa wanashindwa kuwapa huduma katika kipindi cha mimba. hili ni kosa lkn kama binadamu kujaribiwa kumo.
niwie radhi manake siku hizi nimejifunza kuona hakuna mtu mkosaji zaid kuliko mwingine na kwamba kila kosa liko influenced na second part
gfsonwin, yaani ufumaniwe hala ujitie kuumia,unaumia nini sasa,unaumiaje mpaka umpige mkeo tena akiwa mjamzito? uko rstaurant unapata wakati mzuri na mwanamke mwingine,huku umegoma kuleta ukwaju nyumbani?
sijui kilichompelekea shemeji akawa hivi,lakini,dada yangu kipindi cha mimba alikua mwenyewe,hakua mvivu,kazi zote za nyumbani alikua anafanya yeye na mimba yake juu...yeye shida yake ilikua kuletewa vitu hivyo tuu,tena aletewe na mumewe..wengine tukipeleka anadai vina vumbi...
Rafiki nashukuru kwa mchango wako ingawa sikubaliani nayo yote. Inawezekana mimi niko kiimani zaidi sasa nachanganya mambo hapa. Siioni kabisaaaa hiyo excuse ya mtu kukosa huduma sababu ya ujauzito na kwenda kuitafuta nje. Pia nashindwa kuiona hiyo huruma ya huyo baba kwa mkewe. Namshukuru Mungu kwa kuwa hivi nilivyo na alijua toka mwanzo kwamba mume type hiyo hanistahili.
Niwie radhi nami kwa kuangalia mambo kitofauti na pengine hata kuonekana mbishi . Aisee hapa umeniacha hoi yaani mume aende nje kufuata huduma ni uchafu gani huu jamani. Ama kweli kila mtu kaumbiwa mume wa kwake