Tupe uzoefu wako!!!!


dah! mi ngoja nisiongee lolote labda mpaka nipate kizygote nione hali itavokuwa. inawezekana ni kweli mnakomolewa au inawezekana ile hali wanajisikia ndio kisababishi
 
mwenzio alikua haleti hata huo wa zanzibar,na dada hakua selective kua hadi utoke sehem flani,ye kama umeletwa na mumewe tu baas roho yake kwaatu
 

hapa suluhu ni moja tu wanawake jtahdini msitumie kigezo cha mimba kuwapelekesha wanaume,na wao ni binadamu kwaio ikifika hatua usumbufu umezidi wanachoka,pia wanaume tujitahd kusoma saikolojia za wanawake zetu hasa kipindi cha ujauzito,kwa kufanya hvyo tutafahamu jinsi ya kukaa nao
 
Last edited by a moderator:
wengi hawaelewi...wanaona wanapandwa kichwani tu
 
dah! mi ngoja nisiongee lolote labda mpaka nipate kizygote nione hali itavokuwa. inawezekana ni kweli mnakomolewa au inawezekana ile hali wanajisikia ndio kisababishi
Sometimes akiumia sana anakasirika vipi kama ni raha mlipata wote wakati wa kuipata hiyo mimba halafu maumivu apate peke yake. Sasa utapigiwa simu kila saa(I don't mind na huwa nabembeleza). Ila akianza kukulaumu kwa makosa madogo madogo ambayo siku zote alikuwa hata haulizi. Hakuna tena kukaa na washikaji wakati zamani alikuwa anaelewa sana tu. Hata ukienda home kwenyewe anapiga stori na mashosti waliomtembelea! Unawaza sa na mimi si ningekaa na washkaji kidogo tu?
Haya mapenzi ya kizungu sometimes sio issue wala nn
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu na huyo mwanaume ni muuaji asijifanye na hizo zawadi zake kumdanganya mkewe amuone kuwa ni mtu mzuri sana. Kama alishindwa kununua ubuyu hizo zingine analeta kwa mapenzi yepi? Achukuliwe hatua huyo kwani criminal offences has no limitation of time.
 

Wewe umeolewa? au ndo bado unaishi kwa dada? anyway.huyo jamaa hamtendei haki mkewe japokuwa mambo ya ndoa ni zaidi uyaonavyo kwa nje,pole kwa dada...

Lakini ifike mahala tuache hii tabia ya kujadili ndoa za watu,mambo ya wanandoa hayakuhusu hata kama ni ndugu yako,
 
sasa anashinikizwa arudi..na wanaomshinikiza wanadai ile mimba ilimfanya shemeji awe hivo,na wanasema wanaume wengine hua hata wanatapika...sasa mie sielewi kabisa..yaani sielewi
huyo hafai. bora dada yako alivogoma kurudi
 
kwani ukivumilia,ilhali unajua kua ni kipindi cha mpito tuu hautaeleweka kwa rafiki zako?
 
mie pia sikupenda kabisa...plus kufumaniwa,hilo anajifanya kalisahau
 

poleni sana wanaume. mtuvumilie tu hivo hivo. msitafte nyumba ndogo kipindi hicho. tusije tukamaliza kulea mimba tukaanza kulea magonjwa.
 
sasa anashinikizwa arudi..na wanaomshinikiza wanadai ile mimba ilimfanya shemeji awe hivo,na wanasema wanaume wengine hua hata wanatapika...sasa mie sielewi kabisa..yaani sielewi

hawajui maumivu aliyoyapata mwenzao. wasimshinikize wamuache afanye maamuzi mwenyewe.
 
mwallu kote nimesoma ila hapo kwenye kupigwa ngumi,mateke inaumiza.Angemlaza police kwanza atie adabu ebooo
 
Last edited by a moderator:
sijaolewa,sikai kwa dada...kama umenielewa,nimeuliza namna watu waliopitia hii changamoto walipitapita vipi,huwezi jua,pengine itamsaidia dada yangu....na kama ndugu,kile kipondo alichopewa kiliniuma..damu nzito kuliko maji
 
alipotea..wiki nzima akawa haonekani nyumbani kwake
mwallu
kote nimesoma ila hapo kwenye kupigwa ngumi,mateke inaumiza.Angemlaza
police kwanza atie adabu ebooo
 
Last edited by a moderator:

wanaume baadhi ni wapyumbavu sana
hua hawakumbuki kua mimba si kilema
akiona mwanamke na tumbo lake hawezi mibinjuo
basi soltn ni kutoka nje,na kumnyanyapaa mke kisa mimba
haya sasa mke kajifungua anataka nini,alisahau nini,ningechoma
zawadi zake mbele yake,yule aliempenda kipindi mwenzie mja mzito
kaishia wapi?na wanaambiwa mkosee mwanamke akiwa mzima,lakini
akiwa ktk hali ya mimba jitahidi kumridhisha mkeo coz ukimuumiza
yale maumivu hua ni ngumu kutoka moyoni!!shikamooni wanaume!!
 
Ndio maana, sasa nakuelewa ukilalamika.

Kuikweli mimba hazitabiriki, na mwanamme akizubaa unampanda kichwani, sio kwamba unakuwa na nia ya kumpanda kichwani, sometimes vitu unavyotaka hazitekelezeki ama ni uzembe wa mjamzito.

Mie niliwahi kulia kutwa nzima kisa mtu kashindwa kuniletea chips kuku, sikuwa na hela hapana, sikuweza kupika home, hapana, ila zake zilikuwa tamu zaidi. Imagine lunch time mtu atoke posta kuleta chips kuku survey, can u imagine? I felt so stupid baada ya kujifungua, na mara nyingi akinikumbusha huwa nakasirika sana.

But, kuna vitu vingine alifanya vya ajabu ajabu sana, kuhakikisha udongo haukosekani, ananununua wapi sitai kujua, nachotaka udongo toka Mwanza. Sometimes unakuta mtu kabeba brifcase uadhani kuna mihela kumbe kuna udongo anapeleka home.

Mimba sio ugonjwa wa akili, lazima mjamzito ajitahidi kubalance ili maisha yaende. Haiwezekani mtoto wa watu awe mtumwa kisa tu mimba, haikubaliki. Ila hapo kwenye kuchit hapo sikubaliani napo.

sijawahi kubeba mimba asee
 
Sasa mme asiende kazini? Hizo bills zitalipwa na nani?

Au mme maisha yasimame kabisa kisa mke ana mimba? Jamani!!!! Basi wanamme wataogopa kuzaa. Ni kweli kuna stage za mimba zikifika unataka mtu akae kwapani kama semometa, lakini hali halisi inashindikana.

nimemtumia dada yangu kama mfano..yanayomkuta najua kuna wengi yamewakuta,pengine zaidi ya hayo..kuhusu ubuyu na ukwaju,ushawahi kuona mjamzito anakaa na shati la mumewe? kila wakati anavuta harufu yake? kwa nini asikae na shati la mwingine?
 
hahahaha,kwamba akae kwapani...anakua tu ananusa harufu ya shati..wakati huo mumewe yuko kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…