Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
- Thread starter
-
- #41
hongera sana shosti kambi popote endelea kusave nauli ukanywe biaShost Miss Natafuta mie nimekufa na kuoza kwenye penzi la mwendesha BODABODA yaani yuko vizuri sana, anajua mambo si kawaida najiona kama niko pepo fulani. Hata harufu ya koti lake chafu siisikii. Acheni jamani bodaboda wako njema. Nikipanda "usafiri" wake huwa namtekenya tekenya.
wala hjatuko hivo.wanaume mngesimama kwenye nafasi zenu maisha yangekuwa poa sanaSawa ila inaonekana wanawake mnadai haki hamtaki kutimiza wajibu
Wasikukatishe Tamaa Wenzako washakata Tamaa ya kupenda Ndio maana waona hivyo, kuna Wanaume bora na zaidi kuliko hao ipo Siku Utampata, mim napenda na napendwa sikatagi Tamaa Wanaume wenye upendo Wapo bado wengi tu tena wazuri wanajua thamanii ya mwanamkenaonaga tu dina ,mambo mengi
hongera sana .kupata wa kukufuta machozi sio mchezo dunia hiiWallah zimfikie mtoto wa Kirangi bin Rajab aliyenifuta machozi kipindi nalia.
dina na wewe unapendwa na wangapi?Wasikukatishe Tamaa Wenzako washakata Tamaa ya kupenda Ndio maana waona hivyo, kuna Wanaume bora na zaidi kuliko hao ipo Siku Utampata, mim napenda na napendwa sikatagi Tamaa Wanaume wenye upendo Wapo bado wengi tu tena wazuri wanajua thamanii ya mwanamke
Usikatishwe Tamaa na watu wenye stress zao
Anasahau kila jambo na wakati wake, cha msingu uvumilivu na kutokukata tamaa Mungu atamoatia hitaji la moyo wake ana haraka tuWasikukatishe Tamaa Wenzako washakata Tamaa ya kupenda Ndio maana waona hivyo, kuna Wanaume bora na zaidi kuliko hao ipo Siku Utampata, mim napenda na napendwa sikatagi Tamaa Wanaume wenye upendo Wapo bado wengi tu tena wazuri wanajua thamanii ya mwanamke
Tupo tulio simama kwenye nafasi zetu lakini mwanamke anakufanya ujione mjinga anashindwa kutimiza wajibu wakewala hjatuko hivo.wanaume mngesimama kwenye nafasi zenu maisha yangekuwa poa sana
eheheeheeeKuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang
Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda
Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?
Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini
Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman
Wacha nilie tu hakuna namna
Sio kwa chekoo hilo mamy natafutaeheheeheee
Atakuja mda si mrefu mungu amesikia kilio chakoKuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang
Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda
Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?
Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini
Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman
Wacha nilie tu hakuna namna
Mbona simuoniiAtakuja mda si mrefu mungu amesikia kilio chako
Mimi nishapendwa sana na bado napendwa,, kuna mkaka ananipenda sana na juzi kati Hapa ulikuwa kuniona Anafanya kazi UN ni mzuri, Kila kitu anacho nadhan, Ana heshima sana Pamoja na kuwa na kazi kubwa, Nampenda japo mimi kuna mtu Nampenda zaidi yamekuwa Kwenye mgogoro mwaka nadhan sasa, huyu ndio nnaempenda sana Kuzidi Kila kitu japo huniamini amigo Kwa sasa lakin anafaa Kuwa mime kabisadina na wewe unapendwa na wangapi?
Ndio anipe muda aone wapi anakoseaAnasahau kila jambo na wakati wake, cha msingu uvumilivu na kutokukata tamaa Mungu atamoatia hitaji la moyo wake ana haraka tu
kwa mtindo huu haponi mtu hapaKuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang
Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda
Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?
Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini
Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman
Wacha nilie tu hakuna namna
Atakuja mambo mazuri hayataki harakaMbona simuonii
ππππππππππππππππππππππππππππππKuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang