Hii nimeipenda,lakini kama alitaka kujisalimisha angesubiri pale pale alipo na kuinua mikono juu,hakupaswa kulikimbilia!angekimbia kwa kulipa gari kisogo, polisi wangefyatua risasi,,,, soo ndo maana akawaface ili wamuone kwamba anataka kujisalimisha,, then polisi wakapumbazika, yeye akajisepea zake porini
Japokuwa sikufafanua ni polisi wa aina gani,ukweli ni kwamba mfungwa yoyote aliyetoroka jela atakuwa na hisia kwamba anatafutwa,hivyo kila polisi kwake ni simba.Mkuu polise wasingewez kumkamata kwa sababu awana mamlaka na mfugwa awapo ndani ya uniform au akiwa jela iyo ni kazi ya askar magerez.labda fafanua walikuwa police trafic au police wa usalama wa raia.
Polisi wetu wameshajulikana ukiwakimbia ndo wanakukamata ukiwafuata hata hawakuulizi ndo maana huyo msegerea akawafuata halafu akajisepea..Mfungwa mmoja baada ya kutoroka jela,alikuwa akitembea barabarani huku akiwa kavaa uniform za kifungwa.Mara ghafla mbele yake umbali wa mita 200 akaliona gari la polisi likimjia.Uamuzi aliochukua ni kukimbilia upande ule ule linakotokea gari lile gari kwa hatua kama 10 halafu akachepuka porini na kutokomea kusikojulikana. (SWALI);Unafikiri ni kwa nini alikimbilia ule upande linakotokea gari na kuchepuka porini badala ya kulipa mgongo,akimbie kurudi alikotoka halafu ndo achepuke porini?