Tupe mchanganuo

Tupe mchanganuo

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Tina ana kasuku kadhaa na cage kadhaa kwa ajili ya kubebea hao kasuku.Akiweka kasuku wanne wanne katika kila cage,cage moja inabaki tupu.Akiweka kasuku watatu watatu katika kila cage,kasuku mmoja anabaki nje.Tina alikuwa na KASUKU wangapi na CAGE ngapi?[onyesha njia].
 
I don't need to rush,ntatoa jibu baada ya 5hrs if not yet answered!
 
Kasuku sawa, na hiyo cage ndo nini? Si wote Wainglishi humu wajameni. Huwenda ninalo jibu je!
 
Kasuku sawa, na hiyo cage ndo nini? Si wote Wainglishi humu wajameni. Huwenda ninalo jibu je!
Nimekosa neno zuri la kiswahili mkuu wangu,ila cage=kibanda cha kufugia kasuku!
 
Usijibu hata kesho kama hujapata jibu, kuwa mvumilivu...mambo mazuri hayahitaji haraka.
Ndo natoka ofisini...be back here as soon as i get the chance.
Nyc challenge by the way! I like...
 
linanichanganya sana, labda ningejua hao kasuku wamekufa au ni hai?,
pia hizo cage hazijatoboka kweli?
 
Tina ana kasuku kadhaa na cage kadhaa kwa ajili ya kubebea hao kasuku.Akiweka kasuku wanne wanne katika kila cage,cage moja inabaki tupu.Akiweka kasuku watatu watatu katika kila cage,kasuku mmoja anabaki nje.Tina alikuwa na KASUKU wangapi na CAGE ngapi?[onyesha njia].

najaribu
tufikirie x inawakikisha idadi ya kasuku na y idadi ya cages;
kisha
x/(y - 1) = 4 na (x - 1)/ y = 3
kisha inakuwa;
4y - 4 = x na 3y = x - 1.
ukifanya hayo maswali kwa njia yoyote utapata x = 16 na y = 5.
hivyo alikuwa na cages 5 na kasuku 16
 
najaributufikirie x inawakikisha idadi ya kasuku na y idadi ya cages; kishax/(y - 1) = 4 na (x - 1)/ y = 3 kisha inakuwa;4y - 4 = x na 3y = x - 1. ukifanya hayo maswali kwa njia yoyote utapata x = 16 na y = 5.hivyo alikuwa na cages 5 na kasuku 16
We ni bad news,yaani unatisha mkuu,congrats!
 
najaribu
tufikirie x inawakikisha idadi ya kasuku na y idadi ya cages;
kisha
x/(y - 1) = 4 na (x - 1)/ y = 3
kisha inakuwa;
4y - 4 = x na 3y = x - 1.
ukifanya hayo maswali kwa njia yoyote utapata x = 16 na y = 5.
hivyo alikuwa na cages 5 na kasuku 16

naona wife kakupa desa hapo Pota,mmependezaaaa........
 
Back
Top Bottom