Tupate elimu kidogo kuhusu submita kata umeme

Joined
Oct 24, 2018
Posts
49
Reaction score
65
Submita kata Umeme.

Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.

Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.

Ukifunga submita moja haina msaada.......

Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu

Bei ya submita moja ni 130,000/= pamoja na ufundi. Nitakupa elimu jinsi ya kuitumia. Kwa huduma ya matengenezo gharama ni 15000 kwa kila submita moja.
0757838927. Narudia tena submita haifungwi moja. Submita zinafungwa kuanzia mbili
.
20250321_000540.jpg
20250123_193026.jpg
 
Attachments

  • 20241228_164619.jpg
    20241228_164619.jpg
    406.2 KB · Views: 22
  • 20241106_134325.jpg
    20241106_134325.jpg
    365.3 KB · Views: 19
  • BackgroundEraser_20240907_205102758.png
    BackgroundEraser_20240907_205102758.png
    601.8 KB · Views: 23
Faida za tende kwa afya

Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.

Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.

Ukifunga submita moja haina msaada.......

Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu

Bei ya submita moja ni 130,000/= pamoja na ufundi. Nitakupa elimu jinsi ya kuitumia. Kwa huduma ya matengenezo gharama ni 15000 kwa kila submita moja.
0757838927. Narudia tena submita haifungwi moja. Submita zinafungwa kuanzia mbili
.
View attachment 3280004View attachment 3280005
Ungetupatia elimu kwanza mkuu
 
Samahani mkuu lakini tende zina uhusiano gani na submeter? Naona umeanza na faida za tende kwa afya. Au ukila tende unakuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutumia submeter? 🤔
 
Submita kata Umeme.

Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.

Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.

Ukifunga submita moja haina msaada.......

Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu

Bei ya submita moja ni 130,000/= pamoja na ufundi. Nitakupa elimu jinsi ya kuitumia. Kwa huduma ya matengenezo gharama ni 15000 kwa kila submita moja.
0757838927. Narudia tena submita haifungwi moja. Submita zinafungwa kuanzia mbili
.
View attachment 3280004View attachment 3280005
SUBMITA NI NINI KWANZA? DEFINE IT BASI
 
130,000 x 2 + 15,000= 275,000
Tanesco kuingiziwa umeme vijijini 20,000
Mjini 320,000 si bora kila mtu awe na mita yake tu. Yaani mwisho wa siku watagombana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom