LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,900 Reaction score 37,696 Mar 7, 2014 #1 Mtu mmoja aliye dhaniwa kuwa Tupac Shakur ameonekana kwenye mchezo wa NBA huko nchini Marekani. Tazama picha hiyo hapo chini Na zaidi tembelea link hii hapa chini, utazame video ya jamaa huyo, uone namna anavyo shabihiana na Tupac. Watch This Tupac Look-Alike Cause Chaos At NBA Game (PHOTOS) | Global Grind
Mtu mmoja aliye dhaniwa kuwa Tupac Shakur ameonekana kwenye mchezo wa NBA huko nchini Marekani. Tazama picha hiyo hapo chini Na zaidi tembelea link hii hapa chini, utazame video ya jamaa huyo, uone namna anavyo shabihiana na Tupac. Watch This Tupac Look-Alike Cause Chaos At NBA Game (PHOTOS) | Global Grind
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,439 Mar 7, 2014 #2 Hata mimi niliwahi kumuona pale Mabwepande!!
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,297 Reaction score 20,860 Mar 7, 2014 #3 huyo jamaa ashakufa period.
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,120 Reaction score 2,234 Mar 7, 2014 #4 tena kama mwili wake haukuwekwa dawa, sasa amebaki mifupa mitupu babukijana said: huyo jamaa ashakufa period. Click to expand...
tena kama mwili wake haukuwekwa dawa, sasa amebaki mifupa mitupu babukijana said: huyo jamaa ashakufa period. Click to expand...
Sinewy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2012 Posts 368 Reaction score 173 Mar 8, 2014 #5 mbona hazeeki
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,768 Mar 9, 2014 #6 babukijana said: huyo jamaa ashakufa period. Click to expand... whats the logic behind watu kutokubali kwamba ashakufa? why not BIG, or anyother?
babukijana said: huyo jamaa ashakufa period. Click to expand... whats the logic behind watu kutokubali kwamba ashakufa? why not BIG, or anyother?