Nilikuwa nasoma sehemu wanadai baada ya kupigwa risasi kuna polisi mzungu alivaa kiraia alikuwa akiendesha baiskeli akawahi kumfanyia huduma ya kwanza kumuokoa. Na kumuuliza Tupac sir are you okay? Badala yake akamtemea mate na kumuambia fakyu.
Hawa niggers sometimes siyo wakuwaonea huruma