Tuongelee magari ya umeme.

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,111
Reaction score
3,971
Gharama zake za kununua, gharama za umeme wa kuendeshea, umbali wa kusafiri, kodi zake, faida na hasara zake pamoja na changamoto zingine.

Geely Geome(Xingyuan). Moja ya EV inayouza sana China. Bei yake ni kama USD 10,000

BYD seagull/dolphin. Moja ya EV inayopendwa sana China. Bei yake ni kama USD 10, 000
 
Tusiongelee bei tuongelee umbali kiasi gani inaweza enda ikiwa full charge

Maana iyo vi ev vya low budget vingi huenda km150-300 km

Ev inayoenda umbali mkubwa nyingi ni bei juu sana
 
Tusiongelee bei tuongelee umbali kiasi gani inaweza enda ikiwa full charge

Maana iyo vi ev vya low budget vingi huenda km150-300 km

Ev inayoenda umbali mkubwa nyingi ni bei juu sana
Hizo hapo ni za 300-400km kwa full charge. Kwa matumizi ya kila siku zinafaa kabisa.
 
Kunakua na spea betri,ni gari nzuri hasa ukizingatia bei za mafuta zinapanda kila uchwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…