yy hajui jukwaa jingine zaidi ya hili yan anajua akingia jf anaenda moja kwa moja hapa hajui kuwa yapo na majukwaa mengne,.ni kumsaidia tu hakuna sbb ya kumponda
sina uhakika ila nadhani umetumwa kutuchokoza ss ambao bado tunatafuta ajira.
maana hatujakuelewa unamaanagani kuandika hivyo. HUWEZI KUTUKATISHA TAMAA.