Unaenda wapi?
Hebu rudi
IPO HAJA MAGUFULI KUTUMIA DONDOO ZA HAPA JF ILI KUBAINI MAMBO KEMKEM HASA YA KIZEMBE YAFANYWAYO NA SERIKALI.
RUSHWA
UZEMBE
NA MAUZEMBE MENGI TU!
ii
basi uwe una koment kama mtu mzima,ili ck koment zako zikisomwa live usituaibishe,mambo ya kujifanya mwanasheria halafu unaandika pumba sio freshP ana mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wa Jamiiforums anaitangaza sana...!
jf ndo central media kwa kuibua uozo.