Tuoe wanawake wasio na tamaa wapo

Tuoe wanawake wasio na tamaa wapo

Wala sio huyo dada ni mtu mwemaaa kiasi hicho hadi umuamini kuingia nae kwenye ndoa, ila alifanya kulinda brand ya biashara yake. Asingerudisha mngefuatilia hela imepotelea wapi na mngeenda dukani kwake na hata mahakamani mngepelekana. Aliogopa hicho kitu.
sahihi mkuu, Wakala hawezi kuichukua pesa ya mtu kirahisi hivyo. Tungemfuatilia na kumpata. Data ziko wazi.


Jesus is Lord
 
We unazan wasnge jua pesa imeenda wap? Kuna transaction history ingeonekan tuh wap hela imetolewa unazan yeye hajui? Ingekua ulikua road wasafr tuh afany hv ndio ungesema
 
Back
Top Bottom