Nadhani kwa kuwasaidia vijana ambao bado hawaja toka au hawana msingi bora ungesema tunza mzazi pale unapo weza, kuna vijana hawafanikiwi au hawasogei mbele kwasababu ya kubeba mizigo mikubwa.
Kwaio weka sawa hapo Usitumie hisia hayo hayapo karne hii.