IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
*TUNZA SHAHADA YAKO, PIGA KURA YAKO.
Tarehe 25 October 2015 siku ya Jumapili, Watanzania wote tutatakiwa kwenda kupiga kura ya kuwachugua Viongozi wa kututumikia kuanzia ngazi ya Diwani, Mbunge na Rais.
Kwa kutambua umuhimu wa kupiga kura ndio maana nakusisitiz kufanya jambo kuu la msingi ili tupate Viongozi bora wenye kuguswa na uwezo Wa kutatua changamoto za wananchi wake.
Ili upate viongozi hao ni lazima Utunze SHAHADA YAKO a.k.a Kichinji, Usimpe mtu wala kuuza Shahada yako, Shahada yako ni Elimu bora, Shahada yako ni Afya bora, Shahada yako ni Maendeleo yako, tunza shahada yako.
#MabadilikoNiLazima2015