Android Dungeon
Member
- Oct 22, 2009
- 7
- 0
I had a similar experience, thrice, since I moved to Mwanza early last year. That made me stop going to the place. it might be that I am self conscious OR the staff really "ignore waswahili wenzao"
I don't know if I have been ignored because o my race, or my appearance , I'm not even a big guy. but this isn't fair at all.
Kwa swali lako rejea posts hapo juu!Kuna jamaa yangu anataka kwenda Mwanza lakini yeye ni Mbantu Je ni sehemu / hotel gani ambayo ni nzuri kwake in terms of Huduma
Kuna jamaa yangu anataka kwenda Mwanza lakini yeye ni Mbantu Je ni sehemu / hotel gani ambayo ni nzuri kwake in terms of Huduma
Mwanza Sehemu nzuri nyingi na zenye huduma, nenda Lakailo hotel utakuta ma binti wa kikenya wanatoa huduma faster,jirani yake kuna kiota kingine karibu na uwanja wa mpira wa kirumba nimekisahahu jina, nimekuwa mwanza kikazi about 3years kabla ya kuhamia dar, kuna huduma lukuki.Pia jirani na lakailo kuna kiota kingine wanachoma sana nyama ya nguruwe majina ya viota nayasahahu,lakini tembelea hasa mitaa ya kirumba,kuna sehemu nyingi mambo safi pale,husiangaike na Tunza lodge kwanza mbali sana, alafu kuna mbu wengi pale, na wamasai wao wanaomba pesa ovyo mrangoni eti kiingirio.