Tunza Lodge in Mwanza, your services are poor! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunza Lodge in Mwanza, your services are poor!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Android Dungeon, Oct 25, 2009.

 1. Android Dungeon

  Android Dungeon Member

  #1
  Oct 25, 2009
  Joined: Oct 22, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I'm here in the so called Tunza Lodge, it is oercroweded at some point. I have been calling for a menu but no waiter or waitress has been coming to ask if I'm ready for my order, the waiters are just passing without even looking at me.
  There is plenty of tourists and customers, and it has been almost an hour since my request now and nothing is happening. I don't know if I have been ignored because o my race, or my appearance , I'm not even a big guy. but this isn't fair at all. thanks
   
 2. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  So do you need a waiter or waitress from JF?
   
 3. n

  nyau Member

  #3
  Oct 26, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  I had a similar experience, thrice, since I moved to Mwanza early last year. That made me stop going to the place. it might be that I am self conscious OR the staff really "ignore waswahili wenzao"

  The strange thing is that the behaviour is almost the same at another Mwanza joint - Tilapia. I have always felt that I am being serverd resentfully. However when I am in the company of a "white" colleague/friend the service and attitude of the staff is very different.

  This seems to be a problem at most of the establishments that are frequented by whites, at least here in Mwanza. For some reasons our brothers and sisters who work there consider us "unworthy"!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Android & nyau:

  Hapo Mwanza hakuna sehemu nzuri zaidi ya Tunza na Tilapia? Kwenye soko huria utawala/uongozi wa hivi vi-migahawa (aka hotel or lodge) wana haki ya kukataa mteja au kumjali mteja - Nenda Coconut au pale Mapinda Guest House kuna huduma murua na hawaangalia u-race!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hapo mahala mtalii akifika anapewa kipaumbe kuliko weye maybe wanajua sisi wenye rangi hii hatuwezi kutoa TIP
  ila sio powa kumfanyia mzawa mambo haya kwenye aridhi ya nchi yake
   
 6. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,039
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Kuna jamaa yangu anataka kwenda Mwanza lakini yeye ni Mbantu Je ni sehemu / hotel gani ambayo ni nzuri kwake in terms of Huduma
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa swali lako rejea posts hapo juu!

  Lakini huenda wana historia yako juu ya uwajibikaji wako pindi upewapo huduma...Lakini tofauti na hivyo, waitie Meneja wao awaondoe kazi haraka, kuna watu kibao wanangoja kazi hapo nje!
   
 8. Robweme

  Robweme Senior Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwanza Sehemu nzuri nyingi na zenye huduma, nenda Lakailo hotel utakuta ma binti wa kikenya wanatoa huduma faster,jirani yake kuna kiota kingine karibu na uwanja wa mpira wa kirumba nimekisahahu jina, nimekuwa mwanza kikazi about 3years kabla ya kuhamia dar, kuna huduma lukuki.Pia jirani na lakailo kuna kiota kingine wanachoma sana nyama ya nguruwe majina ya viota nayasahahu,lakini tembelea hasa mitaa ya kirumba,kuna sehemu nyingi mambo safi pale,husiangaike na Tunza lodge kwanza mbali sana, alafu kuna mbu wengi pale, na wamasai wao wanaomba pesa ovyo mrangoni eti kiingirio.
   
 9. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  That should be VILLA PARK!! Otherwise... Nenda kwa Mama Ntilie pale Mwaloni... Hawana Ubaguzi
   
Loading...