Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
CCM hawawezi kutudanganya kwa ahadi hewa miaka nenda rudi. Wanatuita sisi wapumbavu na malofa sababu wamekuwa wakitumia uongo ule ule kutudanganya.
Mwaka huu we are sick and tired of fake promises.
Tunza kichinjio chako, waelimishe na kuwahimiza wenzako ili TUIPIGE CHINI CCM.
Mwaka huu we are sick and tired of fake promises.
Tunza kichinjio chako, waelimishe na kuwahimiza wenzako ili TUIPIGE CHINI CCM.