Tunywe maji ili tuwe weupe, weusi una tatizo gani?

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
12791072_956072744475582_760258542619661302_n.jpg
 
Kuna watu wanaabudu weupe, yani wanafanya kila liwezekanalo ili wawe weupe basi wanaishia kwenye mikorogo ambayo ina madhara kama saratani ya ngozi nk....

Wasanii wa bongo walio wengi wanatumia mikorogo ili wawe weupe lakini hawako tayari kusema ukweli kuhusu weupe wao. wakongo wana tabia ya kutumia mikorogo lakini ni wa kweli na wawazi kuhusu kukubali kuwa wanatumia mikorogo ila bongo utasikia uongo uongo tuu eti siri ya weupe wangu ni kunywa maji mengi, wengine weupe wangu ni wa asili .
 
Akili za wavulana na wasichana hizo, hata ukijaribu kuungalia mashabiki wake wengi ni wavulana na wasichana! Hakuna mwanaume au mwanamke anayejitambua anayeweza shabikia huo upumbavu!
 
Akili za wavulana na wasichana hizo, hata ukijaribu kuungalia mashabiki wake wengi ni wavulana na wasichana! Hakuna mwanaume au mwanamke anayejitambua anayeweza shabikia huo upumbavu!
Tena wewe ndio unatakiwa unywe maji mengi check avatar yako.

swissme
 
Inabidi tumteke Ray na kumuuliza hili swali. Toka katimiza lengo lake la kuchubuka kapata faida gani au alitaka tu kufanana na girl friend wake?
 
Namshukuru MwenyeeziMungu
Ameniumba alivyotaka.Tiiii tiii kama chungu na kiza.
Watu wengi wanakaa juani ili wawe Kama mimi.Naringaje wee acha tu.
 
Back
Top Bottom