Tunguri na majini yake vinauzwa bei poa

Tunguri na majini yake vinauzwa bei poa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
Mmiliki anabadili fani

1413200142898.jpg
​
 
Mbona hujaweka picha ya majini? Mie nataka Majini ya kike kwaajili ya mahaba! Au hayawezi?
Bei gani? Hayo matunguli msimu wake mpaka january ndiyo dili kwa waheshimiwa kutetea viti kwenye mjengo, yatunze tu utauza bei mbaya!! Teh teh
 
Yamo ndani ya vibuyu, ya kike yapo masharti utayaweza?
 
hivi ni kweli ungo unasafirisha jamani natamani niwe nao mimi trip za ughaibuni mbona zitakuwa kama kwenda msalani vile

yaan ni kufumba na kufumbua ushafika, watakukomaje maana huo usafiri sidhani km unahitaji kukata tiketi au kuweka mafuta.
 
Mhhh kama masharti mengi siyataki!! nami naungana na muuzaji huko anakoelekea kufungua sinagogi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom