Tungekuwa na wanasiasa au mwanasiasa wa aina ya Julius Malema katika Bunge letu,ninahaki angeshanzisha mchakato wa kumuondoa Spika madarakani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Kwa mwenendo wa Bunge hili chini ya Spika huyu wa sasa,ni imani yangu tungekuwa na wanasiasa/mwanasiasa machachari na mwenye ujasiri kama Julius Malema kwenye Bunge letu,basi mpaka muda huu mchakato wa kutaka kumuondoa Spika madarakani ungekwisha aanza bila kujali utafanikiwa au laa.

Sijui tunasubiri kitokee nini ndio tuone umuhimu wa kubadili uongozi wa hili Bunge letu walau kwa kuonyesha tu hatuna imani na kiongozi wa taasisi hii.

Tumekuwa watu wa kulalamika tu kuanzia sisi wananchi wa kawaida,badhi ya viongozi wa wastaafu,n.k lakini hakuna hatua tunayochukua japo ni haki yetu kikatiba kufanya hivyo!

Unajua hata mtaani kama kuna sehemu ukipita huwa kuna mbwa ambao huwa wanabweka tu na hawang'ati na ukagundua udhaifu huo,basi kamwe huwezi ogopa kupita mtaa huo hata kama ni usiku wa manane.

Wameshagundua udhaifu wetu huu na ndio maana hawana hofu na pia ndio maana vituko au mambo ya aina hii hayaishi kwani wanaamin kelele zetu ni upepo tu ambao utapita kabla hawajaja na lingine.
 
Tumekuwa watu wa kulalamika tu kuanzia sisi wananchi wa kawaida,badhi ya viongozi wa wastaafu,n.k lakini hakuna hatua tunayochukua japo ni haki yetu kufanya hivyo!
Sugu amefanana sana na Malema!
 
Unamaanisha wapinzani wa bongo ni uchwara 😂😁
Kwa akili zako za kijinga na kipuuzi unafikiri hii ni kazi ya wapinzani tu!!!

Jitafakari kama unastahili kuitwa binadamu mwenye akili na utashi tofauti na viumbe wengine kama wanyama,n.k.
 
Ninaamini kabisa akina malema wapo tena zaidi yake shiida na watu ambao akina malema wataamua kuwapigania!! Watu wanalaumu mno wapinzani lakini hawajui kuwa hakuna viongozi wa upinzani kama hakuna RAIA wanaohoji na kupinga dhuruma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unasema kama angekuwepo mbunge wa aina ya Malema.....

Nami nakuuliza swali, kwa siasa zetu zilizoingia TZ ya sasa, je ange-survive??

Je wasingempyupyu??
Nakuelewa sana hoja yako mkuu, ila ili tutoke hapa tuli[po, kwa sasa kila mtu anatakiwa awe kama kamanda Lissu,Zitto au Mdee hapo tutafanikiwa maana watashindwa wamlenge nani na wamuache nani.
 
Kwa akili zako za kijinga na kipuuzi unafikiri hii ni kazi ya wapinzani tu!!!

Jitafakari kama unastahili kuitwa binadamu mwenye akili na utashi tofauti na viumbe wengine kama wanyama,n.k.
Haya basi mimi sio binadamu ila ni nyumbu 😁...
Nikiambiwa dekia Lowasa barabara nafurahia kwa shangwe, nikiambiwa chukia yule nafuata maagizo ya Mwenyekiti wa kudumu Nkurunzinza Mbowe 😁.
 
Kwa mwenendo wa Bunge hili chini ya Spika huyu wa sasa,ni imani yangu tungekuwa na wanasiasa/mwanasiasa machachari na mwenye ujasiri kama Julius Malema kwenye Bunge letu,basi mpaka muda huu mchakato wa kutaka kumuondoa Spika madarakani ungekwisha aanza bila kujali utafanikiwa au laa.

Sijui tunasubiri kitokee nini ndio tuone umuhimu wa kubadili uongozi wa hili Bunge letu walau kwa kuonyesha tu hatuna imani na kiongozi wa taasisi hii.

Tumekuwa watu wa kulalamika tu kuanzia sisi wananchi wa kawaida,badhi ya viongozi wa wastaafu,n.k lakini hakuna hatua tunayochukua japo ni haki yetu kikatiba kufanya hivyo!

Unajua hata mtaani kama kuna sehemu ukipita huwa kuna mbwa ambao huwa wanabweka tu na hawang'ati na ukagundua udhaifu huo,basi kamwe huwezi ogopa kupita mtaa huo hata kama ni usiku wa manane.

Wameshagundua udhaifu wetu huu na ndio maana hawana hofu na pia ndio maana vituko au mambo ya aina hii hayaishi kwani wanaamin kelele zetu ni upepo tu ambao utapita kabla hawajaja na lingine.
Malema ni kiongozi wa chama cha upinzani, na anafanya jitihada nyingi sana, anawatumikia wananchi wake vizuri.

Umetuletea topic nzuri sana, swali linarejea kwako.

Jee mtu kama malema hastahili kutokea chamani kwako?

Jee umesahau, Zitto alipoanzisha ike petition ya kutaka kumuondoa PINDA, wabunge wangapi wa chadema walishiriki kusaini na wangapi walihepa?

Kuwa shupavu bungeni sio kutukana, kuropoka na kupigania chama.

Bunge la tanzanian ukichanganya wabunge wote, utapata wabunge sio zaidi ya wanne tuu ndio mahiri na wanajua wajibu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwenendo wa Bunge hili chini ya Spika huyu wa sasa,ni imani yangu tungekuwa na wanasiasa/mwanasiasa machachari na mwenye ujasiri kama Julius Malema kwenye Bunge letu,basi mpaka muda huu mchakato wa kutaka kumuondoa Spika madarakani ungekwisha aanza bila kujali utafanikiwa au laa.
Sijui tunasubiri kitokee nini ndio tuone umuhimu wa kubadili uongozi wa hili Bunge letu walau kwa kuonyesha tu hatuna imani na kiongozi wa taasisi hii.
Tumekuwa watu wa kulalamika tu kuanzia sisi wananchi wa kawaida,badhi ya viongozi wa wastaafu,n.k lakini hakuna hatua tunayochukua japo ni haki yetu kikatiba kufanya hivyo!
Unajua hata mtaani kama kuna sehemu ukipita huwa kuna mbwa ambao huwa wanabweka tu na hawang'ati na ukagundua udhaifu huo,basi kamwe huwezi ogopa kupita mtaa huo hata kama ni usiku wa manane.
Wameshagundua udhaifu wetu huu na ndio maana hawana hofu na pia ndio maana vituko au mambo ya aina hii hayaishi kwani wanaamin kelele zetu ni upepo tu ambao utapita kabla hawajaja na lingine.
Nadhani kufananisha bunge la SA nahili la kwetu ni dhambi.
SA wana bunge lakutiliwa mfano lenye meno na linaloheshimu maoni ya wachache,
Katiba ya SA ni ya mfano duniani kwa haki za binadamu na uhuru wa mawazo kama ni mfuatiliaji kuna muda bunge likizingua EFF wanawahi mahakamani rejea impitchment ya Zuma.
NB: SA hawakupata katiba na bunge bora kama zawadi Bali kwa mapambano, vurugu na kila Aina ya mbinu toka kipindi cha apartheid
 
Haya basi mimi sio binadamu ila ni nyumbu 😁...
Nikiambiwa dekia Lowasa barabara nafurahia kwa shangwe, nikiambiwa chukia yule nafuata maagizo ya Mwenyekiti wa kudumu Nkurunzinza Mbowe 😁.
naona tangu akupige chini bado unahasira naye, endelea kujikilimu, mbowe hana shida tena na wewe huna jipya tena kwake
 
Back
Top Bottom