Tungekuwa mbali leo bila Rais Samia

Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo?

1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi 10
Nikajua Rais wa wanyonge alimaliza hayo mambo ya madarasa sio kwa majigambo Yale kumbe ni zero brain 😄😄
 
Mwehu yule kila alipoendaga aliharibu ,anajua kutumia sio kutafuta,anajua kukamua ila kulisha hajui.
 
Poor thinking kutokana na stori za vijiweni.Tayari mshaanza kuchafua fate za watu kisa amekufaa.Ungeyasema hayo wakati yupo hai ili akujibu.Wewe unauhakika gani hizo stori sio mchongo? Let's discuss the present challenges
Wewe unaishi nchi gani? Nimesema story gani za mtaani? Kwani walichokuwa wanafanya TASK FORCE ya TRA hukukiona? Kwani deni la nje kupanda toka Tsh 32 Trillion hadi Tsh 60 Trillion ni Siri? Kama tungekuwa na fedha Hazina tungekopa kihivyo?

Wengine humu kama wewe Introvert_007 ni wahanga wa taarifa za UWONGO za hayati Magufuli. Hamna uwezo wenu binafsi wa kuchambua uwongo na ukweli
 
Huna unachokijua,wakati mwongine kuliko kupoteza muda nyuma ya keybord ni bora ungetumia muda huo kujiingizia kipato!
 
Reactions: Tui
Maneno ya UONGO hayo! Weka data basi au unapenda kuandika andika tu UZUSHI!?
Wewe unaishi nchi gani? Nimesema story gani za mtaani? Kwani walichokuwa wanafanya TASK FORCE ya TRA hukukiona? Kwani deni la nje kupanda toka Tsh 32 Trillion hadi Tsh 60 Trillion ni Siri? Kama tungekuwa na fedha Hazina tungekopa kihivyo?

Wasukuma kama wewe CHIEF MASALAKULANGWA ni wahanga wa taarifa za UWONGO za hayati Magufuli. Hamna uwezo wenu binafsi wa kuchambua uwongo na ukweli. Endeleeni kumuabudu
 
Reactions: Tui
Hao wazazi wapeleke watoto wao shule za serekali,nyingi ziko vizuri,maeneo karibu na hapo.Ipo sehemu,nilikuta shule kama tatu,nzuri za serekali,ya nne ndio yapo baadhi ya majengo ni chakavu,mtu badala kumpeleka mwanawe shule iliyo na majengo mazuri,anasema nimemleta hapa,kwasababu mimi mzazi wake nilisoma hapa,na mwanangu asome hapa.
 
Huu ujinga unaweka hapa mbona huweki na madarasa yaliyojengw akila mkoa binadamu hamueleweki mnataka nini alikuwepo JPM mkawa hamumtaki sijui mantaka muongozwe na nani.
Mbowe.
 
Kwanza mkuu rudi darasani ujifunze kiswahili ili ujue kutofautisha kati ya wahanga na waathirika.Naona mnaendelea kudunisha lugha hadhimu.

Kwa kifupi tayari nishausoma upeo wako kwa hata kushindwa kujua kiswahili fasaha.Nikishusha nondo itakua ni upotevu wa muda.

Huku umeme umekata,nilale tu.Kama unataka kuwa na hekima tanguliza jicho kabla ya sikio.SIASA MCHEZO MCHAFU.
 
Ungekuwa na nondo si ungeziweka hapo tukazisoma, paragraph mbili zote unaandika mipasho. Endeleeni kumuabudu Mwendazake, ila anaoza udongoni Chato
 


Kenya haijawahi fikisha gdp ya $200b na hio list sio sahihi
 
We jamaa unakuwaga na mawazo ya kitoto na ya kifala sana.sijui jpm alikuingiziaga dole katikati ya makalio
 
Ungekuwa na nondo si ungeziweka hapo tukazisoma, paragraph mbili zote unaandika mipasho. Endeleeni kumuabudu Mwendazake, ila anaoza udongoni Chato
Mwendazake alianzisha miradi mingi lakini hakuna hata mmjo alifanikiwa kuimaliza,alikuwa anajua kutumia pesa ila kuzitafita hajui,mda wote kufoka.

Samia anafanya yake bila stress👇























 
Kwani we vipi!? Task Force yoyote, popote duniani huwa na kazi maalum kukidhi mahitaji ya kiutendaji baaada ya "utaratibu" wa kawaida kutokufanya kazi kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na RUSHWA! Huu ni utaratibu wa kawaida wa utendaji dunia nzima! Kuhusu deni la taifa, nikuwa hapo lilipo LINAHIMILIKA KIUCHUMI! Sijui kama umenielwa! Niambie ni nchi gani duniani ISIYOKOPA! Tell me au una sikia maneno ya mtaani tu na wewe unayabeba.

Binafsi nina uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo na sitegemei mtu kunisaidia katika hili ila Mungu, Yehova, ambaye ndiye ninaye muabudu tu! Siabudu mtu wala vimiungu bradha!
 
Huu ujinga unaweka hapa mbona huweki na madarasa yaliyojengw akila mkoa binadamu hamueleweki mnataka nini alikuwepo JPM mkawa hamumtaki sijui mantaka muongozwe na nani.
Raslimali zote zilizoorodheshwa hapo unataka kujisifia kwa kujenga madarasa kwa msaada? Shame! Shame! Shameful.
 
Huna unachokijua,wakati mwongine kuliko kupoteza muda nyuma ya keybord ni bora ungetumia muda huo kujiingizia kipato!
Wewe ndio hujui kitu, hayo mambo aliyoandika hapo ni muhimu sana kama ukiondoa akili za kiCCM, embu ondoa ushabiki try to use your normal mindset.
 
Bora Samia kuliko muuaji watu,shetani mkubwa !


Sijamtaja mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…