donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Mwalimu: Tunga sentensi kutumia neno TUMAINI
Mwanafunzi; tumaini twa kuku ni tutamu kuliko twa mbuzi.......
Mwanafunzi; tumaini twa kuku ni tutamu kuliko twa mbuzi.......
Uuuuwiiiiiii kwa mpango huu itafika DV 10
hahah, nafkiri labda mwanafunzi atakua ni mwenyeji wa mkoa wa iringanimecheka sana....duuhhh
hahah, nafkiri labda mwanafunzi atakua ni mwenyeji wa mkoa wa iringa
wa kanda ya ziwa tuko vzrHapana Bwana, katokea kanda ya Ziwa...
wa kanda ya ziwa tuko vzr