Tundu Lisu there is a lot to learn from Akon!

Tundu Lisu there is a lot to learn from Akon!

Kitu kinachonishinda na ndg zetu waafrika kama mleta mada ni uelewa wao. Kweli uelewa wa ndg zetu wengi ni mdogo kwa kiwango kikubwa.
1. Hakuna muafrika anaichukia afrika narudia hakuna. Hakuna mtu anaweza kuichukia Tanzania bali watu wanachukia matendo maovu ya viongozi wa afrika. Kwahiyo kusema wazi wazi makosa ya viongozi wetu si kukosa uzalendo wala si kuchukia Africa.
2. Waafrica walio wengi hawajifunzi kwa race nyingine. Tumeona jinsi ambavyo trump anakosolewa wazi wazi pale anapofanya vitu vya hovyo sana. Anashambuliwa na waamerica wala hatujawahi kusikia kwamba wale wakosoaji wake si wazalendo. Nadhani shida hapa ni kujua nini maana ya uzalendo.
3. Waafrica wengi wanachukia sana matatizo yetu ya ndani yakipelekwa kwa mataifa mengine wakati tunakoroga, mfano kwa case kama hii ya mleta mada ila tukishalikoroga na tunaponza kulinywa tunaanza kulaani mataifa hayo kwa ukimya wao. Mfano Sudan Kusini , Somalia nk. Sasa kwanini tuwalilie wazungu pale tunapolinywa huku tukiwapuuza tunapolikoroga?
4. Kama hutaki kuingiliwa na mataifa mengine basi hakikisha unajitegema , siyo unasema sisi ni nchi huru halafu kesho unalilia pesa za MCC, MALARIA ,UKIMWI nk. Tuache unafiki wandugu
Huwezi kujitegemea kama hunavyanzo mathubuti vya mapato, na moja ya vyanzo vya mapato ni utalii na uwekezaji . huwezi kupata wawekezaji kwenye madini, gas n.k na huwezi kupata watalii kama umetangaza kua Afrika si mahali salama eti kwasababu wewe umeheruhiwa. Hakuna mtalii anaeweza kufika mahali pasiposalama. Mimi nasema tuweke siasa uchwara pembeni tulitazame taifa hili kwa mtazamo chanya na Maneno uliyokwisha ya tamka huwezi kuyarudisha kinywani. Leo unanchukia mtawala flani halafu unaharibu image ya taifa zima hiyo inamaana unawachukia na wananchi wenzio. Huwezi kwenda kusema kwa jirani matatizo ya familia yako badala ya kuyatatua. Kama kunatatizo katika taifa tulitatue tukiwa ndani na tunapitoka nje tutoke kama taifa.
 
Lakini Jpm amekuwemo serikalini kwa muda mrefu sana hivyo kashiriki sana kutengeneza uozo uliopo
 
Siwezi kufanya huo upuuzi aufanyao TL!
TL has personal vendetta vs our president, with no respect whatsoever to the majority chosen president! Several presidencies have come and gone, they let things get messed-up but TL never ever went this far...now we have the president that resonances with the long cries of his citizens… here comes TL seeking for the international community support to halt decisive efforts to rectify inherited plunders. The way JPM is doing thing, it is just a matter of time before all those opposition part agenda being the things of the far past…this fact is too bitter to be taken by individuals like TL!
Uongo
 
Back
Top Bottom