Tundu Lisu there is a lot to learn from Akon!

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,919
Reaction score
2,843
Tundu Lisu like many brain washed African countrymen, have been in forefront to taint the image of African countries and Africa in general. I hope you can emulate one or two things from this seemingly a lot wiser than most of you simple-minded guys!
Instead of looking for every opportunity you seize to broadcast ill about your countries, please guys look for those positive aspects which are numerous by the way to tell the world!

Asanteni sana!
 
Kitu kinachonishinda na ndg zetu waafrika kama mleta mada ni uelewa wao. Kweli uelewa wa ndg zetu wengi ni mdogo kwa kiwango kikubwa.
1. Hakuna muafrika anaichukia afrika narudia hakuna. Hakuna mtu anaweza kuichukia Tanzania bali watu wanachukia matendo maovu ya viongozi wa afrika. Kwahiyo kusema wazi wazi makosa ya viongozi wetu si kukosa uzalendo wala si kuchukia Africa.
2. Waafrica walio wengi hawajifunzi kwa race nyingine. Tumeona jinsi ambavyo trump anakosolewa wazi wazi pale anapofanya vitu vya hovyo sana. Anashambuliwa na waamerica wala hatujawahi kusikia kwamba wale wakosoaji wake si wazalendo. Nadhani shida hapa ni kujua nini maana ya uzalendo.
3. Waafrica wengi wanachukia sana matatizo yetu ya ndani yakipelekwa kwa mataifa mengine wakati tunakoroga, mfano kwa case kama hii ya mleta mada ila tukishalikoroga na tunaponza kulinywa tunaanza kulaani mataifa hayo kwa ukimya wao. Mfano Sudan Kusini , Somalia nk. Sasa kwanini tuwalilie wazungu pale tunapolinywa huku tukiwapuuza tunapolikoroga?
4. Kama hutaki kuingiliwa na mataifa mengine basi hakikisha unajitegema , siyo unasema sisi ni nchi huru halafu kesho unalilia pesa za MCC, MALARIA ,UKIMWI nk. Tuache unafiki wandugu
 
Ndani ya hayo matendo maovu pia yapo mazuri sana! Uelewa upi unaoonglea unaoweza fikia mtu kufanya hayo ayafanyayo TL! Awamu ya tano inajaribu kurekebisha makosa yalotokea miaka ya nyuma ww unaanza kufuta ushirika na watu waliochangia kuleta madudu hayo ambao wameshaonja joto kwa mabadiriko kadhaa yanayofanya na serikali yetu! Titathimini juu ya uelewa wako pia kama upo sawa!
 
Nope Lissu the Great has ZERO to learn from Akon. Don’t compare Lissu the Great na watu wa ajabu ajabu kama Akon.

Well said brother from your best.. Let's accept the fact..
 
Elimu ni muhimu sana kwa Africa ila hata wale wenye elimu badi haijawasaidia kutatua matatizo ya nchi zao sooo sad.....
 
I skim over your article and I admit you look to be an embicile.Just like Africans you call them brainwashed.
 
Ila kuna kihekima hapa, watu huwa hawayasemi yasiyo sawia ya majumbani kwao. Levo ya nchi ni vilevile tu.
 
Good Inspirational Speech toka kwa Bwana Akon
 
Tangu lini mtawala Wa nchi akawa ndo nchi yenyewe?
Trump akikosea haimaanishi USA nzima imekosea, na akikosea watu huwa wanamueleza Live mbele ya dunia ikiona!
 
Ndani ya hayo matendo maovu pia yapo mazuri sana! Uelewa upi unaoonglea unaoweza fikia mtu kufanya hayo ayafanyayo TL! Awamu ya tano inajaribu kurekebisha makosa yalotokea miaka ya nyuma ww unaanza kufuta ushirika na watu waliochangia kuleta madudu hayo ambao wameshaonja joto kwa mabadiriko kadhaa yanayofanya na serikali yetu! Titathimini juu ya uelewa wako pia kama upo sawa!
Hayo makosa ya nyuma yamefanywa na nani ? Sio hao hao leo wanaojifanya wazalendo ? Kina ndugai na wenzake , sasa mtu akisema hapo anaonekana mbaya , wakati kina ZZK na TL wanapiga kelele kuhusu hiyo mikataba nao pia walionekana wabaya
 
Ndani ya hayo matendo maovu pia yapo mazuri sana! Uelewa upi unaoonglea unaoweza fikia mtu kufanya hayo ayafanyayo TL! Awamu ya tano inajaribu kurekebisha makosa yalotokea miaka ya nyuma ww unaanza kufuta ushirika na watu waliochangia kuleta madudu hayo ambao wameshaonja joto kwa mabadiriko kadhaa yanayofanya na serikali yetu! Titathimini juu ya uelewa wako pia kama upo sawa!
Kuna tofauti kati ya elimu ya mtu na uelewa wa mtu japo inasemekana vinawez vkaenda sambamba .... WEWE BRO KAMA UNA ELIMU BASI UELEWA WAKO NI SAWA NA PUNJE YA MCHELE
 
Ndani ya hayo matendo maovu pia yapo mazuri sana! Uelewa upi unaoonglea unaoweza fikia mtu kufanya hayo ayafanyayo TL! Awamu ya tano inajaribu kurekebisha makosa yalotokea miaka ya nyuma ww unaanza kufuta ushirika na watu waliochangia kuleta madudu hayo ambao wameshaonja joto kwa mabadiriko kadhaa yanayofanya na serikali yetu! Titathimini juu ya uelewa wako pia kama upo sawa!
Hebu soma ulichokiandika maana mwenyewe nimeshindwa kukuelewa unamaanisha nini?
 
Yale masaa yenu 48 ya Tundu Lissu kuomba msamaha kwa kuisema Tanzania hayajafika?

Tundu Lissu ameanza kuipigania nchi hii kabla Akon hajaigundua Afrika.

Get a grip, douchebags!
 
Hivi mleta maada umewahi kuwaza ukavaa viatu vya TL ukatafakari yaliyomkuta? TL mwenyewe haamini kama mungu amemtendea muujiza ule, sema mlifikiri mmemaliza uhai wake ko mnatapatapa!
 
Back
Top Bottom