Kuropoka ni jadi yake lisu nkumba alisema lisu anaumwa kwani hamjamwelewa nkumba mpaka sas.
Hivi Nkumba anauelewa katika jamii yetu kweli wa ku argue na Tundu, wewe pia unahitaji kumuona mtaalam wa akili na naamini atakupeleka moja kwa moja kujiunga na wagonjwa wenzio wa akili.